Chama Wananchi CUF katika salamu za mwaka mpya wametoa pole kwa familia za wafiwa ajali ya morogoro

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Chama Wananchi CUF katika salamu za mwaka mpya wametoa pole kwa familia za wafiwa na majeruhi katika ajali iliyotokea Morogoro mjini10 Aug 2019 iliyosababisha wananchi zaidi ya 100 kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya ajali ya la Petroleum kupinduka na moto kuripuka.
download.jpeg
chanzo #tanzania24 fb
 
Back
Top Bottom