Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda zaidi ya milioni moja ili kuwapatia ajira vijana.
Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Manzese, Jijini Dar es Salaam.
Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Manzese, Jijini Dar es Salaam.