Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,059
Huenda hajui mpira mkuu, hajui kuwa Vyura wanalazimika jua liwake au lisiwake ni lazima wafunge goli ndio wapite na hapo itategemea na FT results.Write your reply...Eti Yanga akitoka suluhu ya bila kufungana anafuzu? Hiyo sheria ya wapi ndugu yangu au unaleta mzaha humu?
Unadhani mbumbumbu ina maana gani kwa mfano?Write your reply...Eti Yanga akitoka suluhu ya bila kufungana anafuzu? Hiyo sheria ya wapi ndugu yangu au unaleta mzaha humu?
Yani wewe ndo kenge uliyezeeka kabisa...kama hujui kitu uliza au kaa kimyaNimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji
Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni hatari sana. Unatembea kwenye uzi mwembaamba sana baina ya kusongambele na kutupwa nje ya mashindano.
Hapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
Tuliidharau timu hii ya Mozambique lakini siku zote Msumbiji hua inatusumbua sana iwe kwa ngazi ya vilabu na hata timu ya Taifa. Wana style yao ya kufunga goli dakika tano za mwanzo na likang'ang'ania hadi mpira unaisha
Natoa wito kwa viongozi na hasa benchi la ufundi wasiwachukulie poa hawa jamaa
Waache kabisa tabia yao ya kufanya majaribio ya wachezaji na aina ya uchezaji, tabia ambayo kocha wetu Patric anayo sana. Waweke kikosi cha kazi isitukute aibu tukakosa pa kuweka sura zetu
Sisi mashabiki panapo majaaliwa tutakuwepo uwanja wa Taifa kutoa sapoti inayohitajika kama kawaida yetu
SIMBA NGUVU MOJA
Jina lako limesadifu akili yako, sina cha kukujibu mkuu wanguYani wewe ndo kenge uliyezeeka kabisa...kama hujui kitu uliza au kaa kimya
Ni kweli kabisa kwa maneno mengine ile sare ya hapa Taifa ni advantage kwa Yanga wakati Simba tuna mtihani mkubwaYanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
Lakini angalau akitoka sare ya 2-2 anafuzu, Simba hakuna hiyo option lazina ashinde akitaka kusongaYanga akienda kutoa sare ya bila kufungana basi atayaaga mashindano,
Nielimishe nilipokosea mkuu wangu, umbumbu sio tusiMtoa mada ni mbumbumbu haswa
Kitu tunachokitegemea ni home advantage lakini sare ya kutofungana ugenini sio nzuri sanampira hujui wewe.. yanga ndio ana hali mbaya
Hapana mkuu. Yanga anakuwa ametupwa nje kwa faida ya goli la ugenini la Rollers.Yanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
Samahan Mkuu unaujua vizur Mpira au unasimuliwa? Unasema Yanga akitoka suluhu kutofungana anafuzu huku umeandikaHapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka suluhu ya kutofungana wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
kiazi huyuWrite your reply...Eti Yanga akitoka suluhu ya bila kufungana anafuzu? Hiyo sheria ya wapi ndugu yangu au unaleta mzaha humu?