Chama Kipya cha Siasa chasajiliwa, CM-TANZANIA!

Ameongeza kuwa, chama chao sio cha Upinzani na kinaheshimu chama kilichopo madarakani hivyo, kinaahidi kushirikiana na Chama Tawala kuenzi mazuri yanayofanywa na chama hicho.
‘’Chama chetu sio cha upinzani, tunataka nchi nyingine duniani ziwe zinakuja kujifunza Tanzania kuhusu amani na maendeleo tulionayo’’, alisema Nkembo.

Aidha, amebainisha kuwa, chama chao cha CM-TANZANIA kitatoa ajira za kudumu kwa Wanachama wake na hata kwa wale wasiokuwa wanachama ambapo kimeshaandaa Idara ya usimamizi mzuri wa huduma kwa jamii kama vile Wazee, Wajane, Walemavu pamoja na Yatima.
CM-TANZANIA ni Chama cha 23 kupokea usajili baada ya Vyama vingine vya siasa 22 vyenye usajili wa kudumu.

1. Kama si chama cha upinzani, ina maana ni chama tawala au? na anaposema wataenzi mazuri yanayofanywa na xhama kilichopo madarakani, anasemaje kuhusu yale mabaya yanayofanywa na chama kilichoko madarakani? Kama hana lengo la kukosoa chama kilichopo madarakani, kuna haja gani ya kuanzisha chama kipya? Si angejiunga na chama tawala kama kada tu na kutafuta uongozi huko? Maana kwa sasa chama kitakuwa redundant kwa kujaribu kutekeleza ilani ya chama tawala wakati hawapo serikalini.

2. Amesema watatoa ajira za kudumu kwa waanachama na wasio wanachama, mbona hajasema hizo ajira zitakazotolewa na chama hicho ni kwenye maeneo gani? Chama kina miradi tayari au ni vipi?
 
Kiweke na nembo na rangi zinazoendana na CCM ili kiwachanganye wapiga kura wa CCM
 
Kunawatu wakishastaafu bado wanakuwa wanatamani kukaa ofisini,kufahamika na kuitwa mwenyekiti baaaasi!
kwanini wasipumzike au kama wananguvu walimelime kidogo.
Mtu kama Rungwe kweli ni bora angeenda kulima ata mchicha angekuwa ameisaidia hii nchi
 
VYAMA vya Siasa nchini vimeaswa kuepukana na migogoro na kutumia vikao vyao katika kuendeleza shughuli zao za kisiasa.
Hayo yamesemwa leo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mhe. Jaji Francis Mutungi wakati akikabidhi Cheti cha Usajili wa muda kwa Chama kipya cha Maadili na Uwajibikaji (CM-TANZANIA).

Aidha, Jaji Mutungi amevitaka Vyama vya siasa nchini kufanya siasa na sio uanaharakati kwaki kwa kufanya hivyo malengo yao yatatimia na kuifanya Tanzania kuwa na amani.
’Msipende kukimbilia kwenye vyombo vya habari mnapokuwa na migogoro bali malizeni tofauti zenu ndani ya vikao vyenu kulingana na Katiba ya Vyama vyenu’’, alisema Jaji Mutungi.
Aliongeza kuwa, Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uasama.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Maadili na Uwajibikaji (CM-TANZANIA) Bwana Laban Nkembo amesema kuwa, chama hicho kimeanzishwa kwa lengo la kuiweka Tanzania kimaadili na uwajibikaji kwa kuwa kinabeba mambo makubwa mawili yakiwemo Amani na Upendo.

Ameongeza kuwa, chama chao sio cha Upinzani na kinaheshimu chama kilichopo madarakani hivyo, kinaahidi kushirikiana na Chama Tawala kuenzi mazuri yanayofanywa na chama hicho.
‘’Chama chetu sio cha upinzani, tunataka nchi nyingine duniani ziwe zinakuja kujifunza Tanzania kuhusu amani na maendeleo tulionayo’’, alisema Nkembo.

Aidha, amebainisha kuwa, chama chao cha CM-TANZANIA kitatoa ajira za kudumu kwa Wanachama wake na hata kwa wale wasiokuwa wanachama ambapo kimeshaandaa Idara ya usimamizi mzuri wa huduma kwa jamii kama vile Wazee, Wajane, Walemavu pamoja na Yatima.
CM-TANZANIA ni Chama cha 23 kupokea usajili baada ya Vyama vingine vya siasa 22 vyenye usajili wa kudumu.
Kumbe kukimbilia kwenye vyombo vya habari ni shida?
 
Ni ingizo jipya hilo baada ya kile cha mwandiga kukataa utumwa mamboleo
 
"...Chama siyo cha Upinzani, kinaheshimu chama kilichopo madarkani". Ndiyo nini sasa?

Huyu Nkembo asije kuwa ni jamaa fulani alisomaga DUCE akiwa kama mwehu mwehu hivi japo wenye kupata access na classified za nchi walikuwa wakimuhusisha na jamaa wa KIJITONYAMA
Kama kuna ka ukweli hivi
 
1. Kama si chama cha upinzani, ina maana ni chama tawala au? na anaposema wataenzi mazuri yanayofanywa na xhama kilichopo madarakani, anasemaje kuhusu yale mabaya yanayofanywa na chama kilichoko madarakani? Kama hana lengo la kukosoa chama kilichopo madarakani, kuna haja gani ya kuanzisha chama kipya? Si angejiunga na chama tawala kama kada tu na kutafuta uongozi huko? Maana kwa sasa chama kitakuwa redundant kwa kujaribu kutekeleza ilani ya chama tawala wakati hawapo serikalini.

2. Amesema watatoa ajira za kudumu kwa waanachama na wasio wanachama, mbona hajasema hizo ajira zitakazotolewa na chama hicho ni kwenye maeneo gani? Chama kina miradi tayari au ni vipi?
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh, ukistaajabu ya musa utayaona ya siasa za bongo
 
Wamesema wao siyo Chama cha upinzani, ni Chama kinachounga Unga mkono maendeleo yanayofanywa na Chama tawala, kama sijakosea ndivyo nilivyosikia azam tv kiongozi wao akisema, take care watanzania.
 
Back
Top Bottom