Kula tano;na pia upinzani waelewe kupishana mawazo sio usaliti bali ndio demokrasia yenyewe na pia waache kudhani wao wapo juu ya sheria kwa kutesa watu kama ni kweli kwani ukweli halisi wanaujua wao na pia waache kuundiana zengwe zisizo na msingi kwa maslahi binafsi
Wewe akili zako ni za ku-unga-unga na haujitambui.Zito hakuwa ana-chalenges bali alikuwa akitumika kuhujumu chama.Hujuma sio chalenjı.Vyama vimejiwekea taratibu,ukizikiuka na kwenda kinyume unaondoka.Si Watanzania wote n wanachama wa vyama bali wananua sera za vyama zinazowapendeza.Zito kama sio mwenye tamaa,nna imani kati ya vyama 18,asingekosa kımojawapo kujiunga.Tatzo lake anataka awe Mwenyekiti na huko kwingne hawangemwachıa,akaanzisha chake.