Chama kipi cha siasa kinachofaa kwa sasa?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Nawasalimu wana JF nilikuwa nimebanwa na kazi kwa mda mrerfu.
Leo nimepata nafasi hii naomba niwasilishe mawazo yangu kwenu tuweze kuyajadili.

Hapa ni kuhusu je chama kipi kinacho faa sasa kuongoza nchi yetu?
Kwanza nianze kwa kuongelea vyama vikubwa hapa nchini yaani CUF,NCCR-Mageuzi, UDP,CHADEMA na CCM.

Mimi sijui sana sera ndani ya vyama vyote ila nina ona matendo ya vyama hivyo:

CUF- imejaribu sana kuwashawishi watu na imejikuta ikiwagawa watanzania katika matabaka matabaka (Yaani Uzanzibar na Utanganyika; Ukristo na uislam)

NCCR-Mageuzi- Hiki chama kilijipatia sifa kubwa sana na kuwa na wanachama wengi lakini kilionekana kuwa hakikuwa na vision kilikuwa ni chama cha msimu. Kwa sasa kimepoteza ubora ndani ya watanzania na sera yake kwa sasa imejificha haijulikani.

UDP- Sera yake imekuwa ni kuwajaza watu mapesa. Hii sera haikueleweka kwa watu maana yake. Hakikuweza kabisa kupenya maana kiongozi wake hakuwa na msimamo mara anagombea urais mara ubunge matokeo yake kikakosa mwelekeo.

CHADEMA- Kimejipatia umaarufu kwa watanzania wengi baada ya kuanza kusema matatizo yaliyopo tanzania lakini kimejikuta kikiingiliwa na yule mdudu wa CUF (Yaani Utanganyika na Uzanzibar; Ukristo na Uislam). Kimefanikiwa sana kupenaya kwa vijana. lakini kimekuwa hakina vision maana viongozi wamekuwa wakirumbana mara kwa mara. Kimegubikwa na kasoro nyingi sana. Pamoja na kufukuza fukuza wanachama kwa kuwahisi kuwa ni wasaliti.

CCM- Hiki chama kiliundwa kwa muunganiko wa vyama viwili yaa ASP na TANU vyama vilivyo ipa uhuru Tanganyika na Zanzibar. Kimejipatia umaalufu sana ndani na nje ya tanzania lakini kwenye miaka ya 2000 -2010 kimegubikwa na kasoro nyingi za kifisadi. Lakini miaka ya 2011 mpaka sasa kimekuwa kikibadilika siku baada ya siku kurudi katiaka hali yake ya kwanza.

Kimekuwa mzazi wa vyama vyote maana sera zake zimekuwa mama. Ni chama kilicho komaa kisiasa. Kimetoa viongozi wazuri sana.

Mawazo yangu:
Nahisi vyama vingine vyote bado ni vichanga sera zake nyingi ni za kugawa watanzania. Ninawaomba watanzania tubaki na CCM kwa mda wa miaka 20 mpaka vyama vingine vitakapo jitambua vinatakiwa kufanya nini. Sio kuendekeza ubinafsi na umimi.

Ahsanteni
 
We endelea kubaki na hiyo CCM yako! mama yangu! kingekomaa kingefanya hayo kinayoyafanya sasa? Kungoa watu meno, Kuiba keki ya Taifa (meremeta, jitegemee, kagoda nk)? kubambikia watu kesi na video feki? ndio kukomaa huko , Kutimua wamasai kwenye makazi yao ili tu kupisha mabasha wao wa kiarabu? ndo ukomavu huo ? GO TO HELL MOM AND YOUR CCM? VIRUNDU IVI?
 
Mtu ataona chama kinamfaa kutokana na matarajio yake kutoka kwenye hiko chama. Kama wewe ni mpenda maendeleo utaona chama kinachofaa ni CCM ila kama wewe ni mpenda maandamano, fujo, ugaidi na utekaji watu nyara utaona CHADEMA kinafaa.
 
Wewe nimeelewa lengo la kuuliza swali hili...ni kujenga chama chako..ila umetumia mbinu ya kijinga sana.
1. Ni mgogoro gani mkubwa wa viongozi wa CDM?
2. Suala la kufukuza wasaliti wa chama linafanyika CDM tu?
3. Vyote ulivyovitaja umejikita kueleza kasoro zao ndogo amabazo haziathiri Watanzania kwa ujumla ukilinganisha na kasoro kubwa ya ufisadi na Rushwa inayogharimu umaskini watanzania wengi na bado bila aibu unasema TUBAKI na CCM!!!!! Huna haya!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unapenda sana kuongea kinyume na hyo inanipa faraja sana,asanteee
 
Kila chama kina kasoro yake ni vyema kufikiria kwa kina na si juu juu tu. Maendeleo yetu sisi watanzania yanahitaji sana umakini wetu. Vyama vya siasa vilivyopo sasa hivi kila kimoja kina kasoro zake za ndani. Tunatakiwa kujiuliza je vyama hivyo vinatatua vipi hayo matatizo? Changamoto ni sehemu ya maisha lakini je utatuaji wake ukoje. Hapo ndio jambo kubwa la kujifunza.

Naombeni tutoe maoni siyo kutukana au kuanza kumjadili mtu.
 
Mtu ataona chama kinamfaa kutokana na matarajio yake kutoka kwenye hiko chama. Kama wewe ni mpenda maendeleo utaona chama kinachofaa ni CCM ila kama wewe ni mpenda maandamano, fujo, ugaidi na utekaji watu nyara utaona CHADEMA kinafaa.

maendeleo au njaa tu, kwakweli CHADEMA ndio kila kitu, hata J.Warioba alisema (si kwamba watu hawaipendi ccm kiasi hicho bali wamechoka kusikia jina hilo)
 
Naombeni tutoe sifa nzuri za kila chama.
1.CUF
2.UDP
3.Nccr
4.CHADEMA
5.CCM
6.TLP
 
Mimi na CDM, CDM na mm...?

Halafu we gamba umetumwa hapa...?
Hivi kwanini wewe unapenda sana kutishia watu? Inamaana hapa JF kunawatu wametumwa?
gamba ndio ndio kitu gani?
 
Ulipoanza nilifikiri upo nyutro kumbe ni kinyume?huo mzoga wako kanukiwe na mliokula nao.chama cha kuaminika kwa sasa ni nccr tu.
 
Usijifanye Taahira kuwa hujui Gamba ni CCM eboooo
Samahani mkuu sijakuelewa. Hivi hoja hapo ni kuhusu gamba au ndio ulivyofundishwa kutukana tu bila kutoa point.
Samahani mkuu ningependa tujadili hoja na utoe point sio kuongea vitu ambavyo havijulikani. Nimesema hayo ni mawazo yangu Je wewe mawazo yako ni kutukana watu!!?
 
Nawasalimu wana JF nilikuwa nimebanwa na kazi kwa mda mrerfu.
Leo nimepata nafasi hii naomba niwasilishe mawazo yangu kwenu tuweze kuyajadili.

Hapa ni kuhusu je chama kipi kinacho faa sasa kuongoza nchi yetu?
Kwanza nianze kwa kuongelea vyama vikubwa hapa nchini yaani CUF,NCCR-Mageuzi, UDP,CHADEMA na CCM.

Mimi sijui sana sera ndani ya vyama vyote ila nina ona matendo ya vyama hivyo:

CUF- imejaribu sana kuwashawishi watu na imejikuta ikiwagawa watanzania katika matabaka matabaka (Yaani Uzanzibar na Utanganyika; Ukristo na uislam)

NCCR-Mageuzi- Hiki chama kilijipatia sifa kubwa sana na kuwa na wanachama wengi lakini kilionekana kuwa hakikuwa na vision kilikuwa ni chama cha msimu. Kwa sasa kimepoteza ubora ndani ya watanzania na sera yake kwa sasa imejificha haijulikani.

UDP- Sera yake imekuwa ni kuwajaza watu mapesa. Hii sera haikueleweka kwa watu maana yake. Hakikuweza kabisa kupenya maana kiongozi wake hakuwa na msimamo mara anagombea urais mara ubunge matokeo yake kikakosa mwelekeo.

CHADEMA- Kimejipatia umaarufu kwa watanzania wengi baada ya kuanza kusema matatizo yaliyopo tanzania lakini kimejikuta kikiingiliwa na yule mdudu wa CUF (Yaani Utanganyika na Uzanzibar; Ukristo na Uislam). Kimefanikiwa sana kupenaya kwa vijana. lakini kimekuwa hakina vision maana viongozi wamekuwa wakirumbana mara kwa mara. Kimegubikwa na kasoro nyingi sana. Pamoja na kufukuza fukuza wanachama kwa kuwahisi kuwa ni wasaliti.

CCM- Hiki chama kiliundwa kwa muunganiko wa vyama viwili yaa ASP na TANU vyama vilivyo ipa uhuru Tanganyika na Zanzibar. Kimejipatia umaalufu sana ndani na nje ya tanzania lakini kwenye miaka ya 2000 -2010 kimegubikwa na kasoro nyingi za kifisadi. Lakini miaka ya 2011 mpaka sasa kimekuwa kikibadilika siku baada ya siku kurudi katiaka hali yake ya kwanza.

Kimekuwa mzazi wa vyama vyote maana sera zake zimekuwa mama. Ni chama kilicho komaa kisiasa. Kimetoa viongozi wazuri sana.

Mawazo yangu:
Nahisi vyama vingine vyote bado ni vichanga sera zake nyingi ni za kugawa watanzania. Ninawaomba watanzania tubaki na CCM kwa mda wa miaka 20 mpaka vyama vingine vitakapo jitambua vinatakiwa kufanya nini. Sio kuendekeza ubinafsi na umimi.

Ahsanteni

HAKUNA CHAMA KINAWEZA KUKIPIKU CHADEMA KWA SIFA CHANYA ZA MAENDELEO NA ELIMU YA KIRAIA ni chama pekee kilichoweza kuweka ufisadi wa nchi ya Tanzania katika uso wa Dunia. ni chama chenye vision, ni chama kinachotoa suluhu kwa asilimia 90 ya matatizo ya wananchi, ni chama cha democrasia, ni chama chenye vijana wasomi wanaoona mbali na machachari kwa maendelea ya rika zote, ni chama ambacho kimeamsha chama cha mapinduzi na kujua kumbe nguvu ya umma ipo, ni chama tishio kwa mafisadi mpaka sasa CCM inatapatapa kila kona na kuanza kutofautiana chenyewe kwa chenyewe angalia mgogoro wa Loliondo wa juzi, ni chama ambacho kina siku kiunda mwenendo mpya na vyama vingine kuiga mfano M4C, operation sangara etc kina kila sifa kuwa chama TAWALA cha nchi yenye matatizo ya kutengenezwa kama Tanzania
 
Umefanya vyema kuongea sifa chanya za Chadema. Hivi uliwahi kukaa na kufikiria bila kuingiza ushabiki "Hivi kweli CHADEMA ni chama kinachoweza kushika hatamu?" Je ni kitu kipi haswa kimoja tu cha kukifanya kuwa na sifa tofauti na kufanya mikutano ya kuamusha chuki kati ya mtu na mtu?

Mfano: Kuamsha ari kwa wananchi kuchukia police. Hivi umewahi kufikiria hao police wanaotulinda wanajisikiaje?
Kuwa na sera za kuwa mwanachama akikosoa tu viongozi anaonekana msaliti.
Kila mtu kuwa msemaji wa chama

Samahani sana ila naomba tujadili hivi kweli unayoyasema? Yaani Zitto, Mbowe,Lisu au Slaa awe raisi wa Tanzania?
Naomba tufikirie kwa umakini sana.
 
Unamaanisha nini kitatokea? Kama ndo hivo, mafisadi wote watakimbia nchi (Namaanisha taka zote zitaondolewa)
 
Back
Top Bottom