CDM kampuni ya kanda ya kaskazini.
Hebu angalia tena ramani ya Dunia halafu tuelekezane upya!Kaskazini ndiko yaliko yote mema ya dunia. Kaangalie ramani ya dunia uone maendeleo yako nchi zilizoko upande gani?...
CDM kampuni ya kanda ya kaskazini.
Hebu angalia tena ramani ya Dunia halafu tuelekezane upya!
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.
Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.
Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014
Kaskazini hapo ni wapi? Umehitimu kisomo cha ngumbaru?Kaskazini!! Au tatizo ni division V??
5 lemaWakulaumiwa:
1. Wachaga
2.Padre
3.Mtei
4Mbowe.
Ushauri wako wa bure umechelewa, kwani SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.
Hata mwasisi wa Chadema Edwin Mtei katika kitabu chake cha "the Ghost of Mtei" katika utangulizi wake anaweka wazi maana ya Chadema ni "Chagga Development Manifesto" na hivyo chama hicho kubaki mikononi mwa kabila hilo. Sina nia mbaya na kabila la wachaga ninachojaribu kufafanua ni kwamba chadema ni chama cha kikabila na kikanda.Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.
Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.
Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014
Huo ndo ukweli wenyewe. Maana halisi ya kaskazini kwa kila lugha ni zaidi ya tunavofikiria. Angalia mfano hata kwa sumaku tu uone maana halisi ya kaskazini.Kaskazini ndiko yaliko yote mema ya dunia. Kaangalie ramani ya dunia uone maendeleo yako nchi zilizoko upande gani? Cheki hata Dar wilaya yenye maendeleo iko wapi?
Angalia hata rais wako JK katika siku zaidi ya 360 alizopiga misele nje kaenda nchi zilizoko wapi? Heshimi sana Kaskazink maana huko ndiko alikotokea hata nyerere aliyewakomboa.