Kuna ndugu yangu mmoja kapanga chumba kimoja na haruhusiwi kusikiliza redio, kuangalia tv , kuwasha feni wala kuwasha friji. Maza house anakaa hapo hapo ila vyote anatumia TV, redio, feni, na mwanae anacherehani inayotumia umeme na kuzalisha vifaranga lakini ajabu bill wanalipa ni moja. I mean wana luku moja. Jamani hii sio haki. Hawa wenye nyumba baadhi yao wana nyanyasa mno