blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,217
- 2,920
Laana ya Pesa za walimu itawaua mwa nyie.View attachment 2680654
Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa!!!
Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko madarakani japo naamini ni za kinafki kama kawaida yao!!!
Ngoja Samia aondoke madarakani ndo utaiona rangi ya hawa wanafki walioamua kukimbia taaluma yao na kuwa wapiga debe wa kusoma upepo!!!
Ngoja niingie kwenye hoja ya msingi; Hebu naomba kujuzwa mmiliki wa hili gazeti haswa ni nani la Jamvi La Habari?!!
Hili gazeti kama si kwa makusudi basi kuna mtu anaajenda zake za kugombanisha viongozi wa WALIMU na SERIKALI tena anatumia nguvu kubwa sana sijajua ana maslahi gani!!
Nakumbuka tangu wale viongozi walipoomba kutohudumu nafasi walizoteuliwa na rais mama Samia yaani hili gazeti limekomaa na hawa watu haswa!!!
Hebu wapana wa maarifa mtufungue macho kuna nini nyuma ya pazia?!!
Binafsi wala siyo mwalimu na wala sijihusishi na mambo yao ila naona kama hiki chama kimeandamwa sana tangu wale viongozi kuomba kutenguliwa kwa nafasi zao na kibaya zaidi kuna gazeti linatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha wale viongozi wanaondoka CWT sijajua kuna nini nyuma ya pazia chief!!!Laana ya Pesa za walimu itawaua mwa nyie.
Hapa unalalamika kama juha.
Basi achana na mambo yasiyokuhusu.Binafsi wala siyo mwalimu na wala sijihusishi na mambo yao ila naona kama hiki chama kimeandamwa sana tangu wale viongozi kuomba kutenguliwa kwa nafasi zao na kibaya zaidi kuna gazeti linatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha wale viongozi wanaondoka CWT sijajua kuna nini nyuma ya pazia chief!!!
Hiki chama ni kikoba kinachonufaisha viongozi majizi...View attachment 2680654
Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa!!!
Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko madarakani japo naamini ni za kinafki kama kawaida yao!!!
Ngoja Samia aondoke madarakani ndo utaiona rangi ya hawa wanafki walioamua kukimbia taaluma yao na kuwa wapiga debe wa kusoma upepo!!!
Ngoja niingie kwenye hoja ya msingi; Hebu naomba kujuzwa mmiliki wa hili gazeti haswa ni nani la Jamvi La Habari?!!
Hili gazeti kama si kwa makusudi basi kuna mtu anaajenda zake za kugombanisha viongozi wa WALIMU na SERIKALI tena anatumia nguvu kubwa sana sijajua ana maslahi gani!!
Nakumbuka tangu wale viongozi walipoomba kutohudumu nafasi walizoteuliwa na rais mama Samia yaani hili gazeti limekomaa na hawa watu haswa!!!
Hebu wapana wa maarifa mtufungue macho kuna nini nyuma ya pazia?!!
Kwani shida iko wapi hasa kwa hilo gazeti kuamua kupambana na hao viongozi wezi wa fedha za walimu!Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa!
Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko madarakani japo naamini ni za kinafki kama kawaida yao.
Ngoja Samia aondoke madarakani ndo utaiona rangi ya hawa wanafki walioamua kukimbia taaluma yao na kuwa wapiga debe wa kusoma upepo.
Ngoja niingie kwenye hoja ya msingi; Hebu naomba kujuzwa mmiliki wa hili gazeti haswa ni nani la Jamvi la Habari?
Hili gazeti kama si kwa makusudi basi kuna mtu ana ajenda zake za kugombanisha viongozi wa WALIMU na SERIKALI tena anatumia nguvu kubwa sana sijajua ana maslahi gani.
Nakumbuka tangu wale viongozi walipoomba kutohudumu nafasi walizoteuliwa na Rais mama Samia yaani hili gazeti limekomaa na hawa watu haswa.
Hebu wapana wa maarifa mtufungue macho kuna nini nyuma ya pazia?
Ila hilo ni la siku mingi,,,, cjajua kwanini hawa walioko sasa wanashambuliwa sana baada ya kuonyesha misimamo flani,,,,, anyway ya NGOswe acha tumuachie NGOswe but nilitamani kujua kilichoko nyuma ya pazia baada ya kuona Jamvi La Habari limewashupalia hawa viongozi!!!Basi achana na mambo yasiyokuhusu.
Wanaokatwa 2% ya mishahara yao kila mwezi kushibisha matumbo ya hao wezi ndio wanajua maumivu yao.
Kwa taarifa anayekata mishahara ya watumishi na kuwapa CWT ni MWAJIRI ambaye ndio huyo huyo serikali.
HAKUNA msimamamo wowote.Ila hilo ni la siku mingi,,,, cjajua kwanini hawa walioko sasa wanashambuliwa sana baada ya kuonyesha misimamo flani,,,,, anyway ya NGOswe acha tumuachie NGOswe but nilitamani kujua kilichoko nyuma ya pazia baada ya kuona Jamvi La Habari limewashupalia hawa viongozi!!!
Mmiliki wa Jamvi La Habari ni nani na amelikomalia hili katika mlengo UPI?! Ndicho nilichohtaji kupata mwanga