mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 840
- 1,665
chama cha walimu sikielewi naona kinashabikia kufukuzwa walimu wakuu watakao kuwa na wanafunzi hewa! mbona kwenye watumish hewa wakurugenzi na wakuu wa idara tena wanaotumia makomputa maofisini mwao hawakufukuzwa kazi? iweje hawa wadogo tena wanatumia mfumo hafifu wa utunzaji data watishiwe nacho chama kushabikia? kiukweli mimi sioni kazi ya chama cha ualimu tunakatwa pesa ya bure tu!