Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Habari wadau! Kuna chama kama hiki nimekikuta Somewhere. Hiki ni chama cha wanaume walioachana na wake zao au wachumba wao sasa wanaishi maisha yao. Hiki chama watu wanafarijiana kiasi kwamba hata kama mtu kaja na maumivu yake ya kuachwa yanafutika maana kuna maisha mengine ya furaha baada ya watu kuachana. Hiki chama kitaweza kuwasaidia watu kisaikologia ili mtu aweze kumove on kuliko kukaa na mawazo kumuwaza mtu asiyemjali. Kama mtu kaumizwa na mapenzi karibu tukushauri ili uweze kumove on na kuenjoy maisha.