Chama cha Waajiri chatoa tarehe za Sherehe za kitaifa za umma

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Ofisi ya Waziri Mkuu imetoa orodha rasmi ya Sikukuu za kitaifa, ambazo zitakuwa siku za mapumziko kwa mwaka 2016.

Kutakuwa na jumla ya sikukuu 16 kwa mwaka mzima wa 2016.

Public Holiday.jpg
 
Last edited by a moderator:
Zinafunguka mbona yangu ni TECNO R7

HAYA BWANA NDIYO HIZI HAPA:
1. 1/jan. mwaka mpya
2. 12 jan. mapindu zenj
3. 25 march ijumaa kuu
4. 28 march pasaka
5. 7 apri, siku ya karume
6. 26 april, muungano
7. 1 may, wafanyakazi
8. 7 julai siku ya biasha ya kimataifa
9. 7, au 8, 9 julai edd el ftri
10. 8 august, nane nane
11. 14 au 15 september eid al haji
12. 14 october kifo cha Nyerere
13. 9 december siku ya uhuru tanganyika
14. 24, 25 au 26 maulid day
15. 25 december, Kristmas
16. 26 december, kupeana zawadi (boxing day)

Hizo ndizo siku kuu za mapumziko kwa mwaka
 
Last edited by a moderator:
Tulisema hizi skukuu za Chrismas, mwalim nyerere, boxing day, pasaca hazina umuhimu wowote as long as hazina reference katika vitabu vyao ni kuongeza kasi ya maasi tu na watu kunywa pombe bas.
 
Tulisema hizi skukuu za Chrismas, mwalim nyerere, boxing day, pasaca hazina umuhimu wowote as long as hazina reference katika vitabu vyao ni kuongeza kasi ya maasi tu na watu kunywa pombe bas.

Nakuona mzee wa madrasa katika ubora wako!!!!!!!!!!!!! ndezi mko wengi aiseh
 
Tulisema hizi skukuu za Chrismas, mwalim nyerere, boxing day, pasaca hazina umuhimu wowote as long as hazina reference katika vitabu vyao ni kuongeza kasi ya maasi tu na watu kunywa pombe bas.
usikurupuke tu
 
Back
Top Bottom