Chama cha mapinduzi Tunashukuru kwa haya

Chama cha mapinduzi,kimetufanyia haya,ambayo kwa hakika yameonekana mazuri machoni mwa wengi ndiyo maana leo wanapambana kukutetea.

1. umetuuwa fikira zetu ,kwa kutupa Elimu tegemezi ambayo kila kukicha watoto wetu wanasoma ili wapate kazi na kuajiliwa na makampuni flani makubwa nchini.Hakuna mtoto anayesoma akiwaza kubuni au kutumia elimu yake kufanya kitu kipya nchini. ASANTE SANA CCM

2.mmekiua kilimo chetu na tumekuwa tegemezi hata kwa chakula,mmetufanya watu wa njaa wakati wote.

3.Mmetufanya tuamini bila misaada hatuwezi kusonga mbele,mkasahau kutegemea kodi kupanga mipango yenu kodi zetu mnatumia kufanya starehe zenu sababu kuna misaada.

matokeo yake huduma zote muhimu ambazo tuliwachagua ili mziendeshe na kutupa ama kutuhuzia kwa bei nafuu,zote mmebinafshisha,ndiyo maana leo rasilimali zetu zote zinachukuliwa kwani hatuna cha kuwalipa hao mnaowakumbatia.

Usalama- wafadhili wanalisaidia
Elimu- wafadhili wanatusaidia
Afya- wafadhili
Miundombinu- wafadhili

Huduma zote hizi zinaudumiwa na wageni,ni kwanamna gani mtatuthamini watanzania?mkaacha kuwathamini wafadhili wanaowapa fedha? Watanzania hatuna faida kwenu,Donors are number one to you.
Ndiyo maana mmeanza kutupiga risasi kama watu tusiokuwa na haki,na hakuna mtu anayeona ametenda kosa.
Ohhhhhhhhhhhhhh my Tanzania.[/QUOTE

si kweli,kuhusu elimu si kweli kua watanzania wanapewa elimu ya kutaka kuajiriwa bali mentality zao ndio tegemezi na ni matatizo yenye historia ndefu mbona tunasoma na watu wa mataifa mengine bt wao wakitoka wanawaza tofauti na wabongo wanawaza mengine.kuhusu donors mbona hata nyinyi mmeomba ujerumani na pesa hizo ndio zinaendesha chama,msitafute vitu vya kipuuzi kuzua mjadala ndo maana wanafalsafa walisema ordinary mind discuss events na hiki ndicho mnachokifanya.kajipange uje na issue critical huu uchu wa kushika dola utawaletea matatizo nyie watu na kaa ukijua u wil never b a first lady na wala kulala ikulu just keeep on dreaming
 
Josephine
Katika shukrani kwa CCM umesahau moja ambalo ndio muhimu kwa maisha yako ya sasa; ishukuru sana CCM ndio iliyomlea Dr. Slaa kama sio CCM Slaa angekuwa kama kanyagio la chooni

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Septemba 30 , 2010 Bwana nyimbo alikaririrwa kusema haya.Leo sijamwelewa kabisa. Nadhani CHADEMA msimamishe kwa muda kupokea magamba fastafasta

IMG_2797.JPG

THOMAS Nyimbo pichani akivuruga chama cha mapinduzi (CCM) asema adui yake mkubwa ni Rais Jakaya Kikwete aliyekata jina lake Dodoma na kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM Geyson Lwenge ni mchafu wa kutupwa hata kwa bure hafai kuongoza wananchi.

Huku akimpongeza rais mstaafu wa awamu ya pili All Hassan Mwinyi kuwa ni mwadilifu ,mpole na kiongozi asiyependa makuu kama alivyokuwa baba wa Taifa hayati mwalimu Julius Nyerere.

Asema kuwa kosa lake kwa Kikwete hadi kukatwa jina lake ni kuonyeshea vidole wezi na kutokuwepo katika kambi ya Kikwete wakati akitafuta ridhaa ya wanachama kugombea urais mwaka 2005 ambapo yeye alikuwa upande wa mzee John Malecela na ndio sababu ya kuendelea kuchukiwa hadi sasa.

Pia alisema kuwa hata Philipo Magulla aliyekuwa katibu mkuu wa CCM alienguliwa ndani ya chama hicho katika nafasi hiyo kwa chuki binafsi kama alivyofanyiwa yeye na ndio sababu ya kumwangusha Mangulla katika nafasi ya kiti mkoa wa Iringa ili asiende kutana na mbaya wake Kikwete.
Aidha alihoji sababu ya Lwenge kupewa ridhaa ya kugombea ubunge jimbo hilo wakati wananchi walimkataa pamoja na kutoa rushwa ya kutisha katika kura za maonini .

Nyimbo alisema kuwa kati ya watuhumiwa wa rushwa ambao walipata kuhojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) kama ilivyo kuwa kwa Frederick Mwakalebela ambaye alipokonywa ushindi wake na NEC ya CCM ni pamoja na Lwenge hivyo iweje Mwakalebela akakatwa kugombea na Lwenge na Basil Mramba ambao ni watuhumiwa wa Rushwa wakiendelea kulindwa na serikali ya CCM.

Asema kuwa wananchi wakimpa kura Kikwete na Lwenge ni sawa na kumkabidhi mali akulindie mtu usiye mjua ni wapi kwa kumkuta hivyo ataka wananchi kumwamini mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na maendeLeo (Chadema) Dr Wilbrod Silaa pekee nay eye kama mbunge wa jimbo hilo la Njombe Magharibi kupitia Chadema.

Nyimbo ambaye ndiye aliyekuwa wa kura za maoni CCM na baadaye kuenguliwa alisema kuwa katika bunge lililopita kwa CCM walikuwepo wabunge wawili pekee Dr Herson Mwakyembe wa Kyela na mzee John Samwel Malecela pekee na zaidi ya hao wote walikuwa ni wabunge wa ndio mzee kwa kila jambo.

Akiuhutubia leo umati mkubwa wa wananchi waliofika kumsikiliza katika viwanja vya Ilembula ambako alikataliwa mgombea ubunge wa CCM Lwenge (CCM) mbele ya mgombea mwenzawa urais CCM Dr.Mohamed Bilal ,Nyimbo aliwataka wana Njombe Magharibi na watanzani kuchagua mtu badala ya kudanganywa na porojo za CCM kuwa wachague chama.

Nyimbo asema kuwa CCM imejipanga vya kutosha kuhakikisha wanaiba kura katika jimbo hilo na kuwa tayari wa wameanza kutoa rushwa ya shilingi 2000 kwa kila balozi ili kutuliza Jazba za wananachi wa jimbo hilo hivyo kuwaomba wananchi kuendelea kupokea fedha hizo ila kura zao wasijaribu tena kutoa kwa CCM na badala yake kupeleka kwake na Dr Silaa kama Rais na madiwani wa Chadema.

Hata hivyo Nyimbo alisema kuwa iwapo halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) ingerudisha jina la mtu wa pili katika kura za maoni Yono Kevella kuwa mgombea wa jimbo hilo kwa upande wake asingegombea kupitia chadema kwa kuwa Yono si mchafu kama Lwenge ambaye wananchi wa jimbo hilo hawakumkubali .

"Mimi nashangaa sana mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Pindi Chana ambaye alitetea kukatwa kwa jina langu Dodoma kuwa mtaua chama ila leo amekubali kutumwa na CCM kuja kunichafua na kumpigania Lwenge asiyekubalika katika jimbo hili…..mimi nawaomba wana Njombe Magharibi msimsikilize Pindi Chana, Anna Makinda na Augustino Mbanga ambao wanapita kumnadi mbunge asiyechaguo lenu"

Hata hivyo Nyimbo alisema aliwaomba wananchi wa jimbo la Njombe Magharibi kumruhumia aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Kevella kwa kushindwa kupigania kupanda kwa bei ya mbolea ya ruzuku katika jimbo hilo kutokana na kushindwa ushirikiano mzuri toka halmashauri ya wilaya hiyo ambayo imetawaliwa na ufisadi mkubwa kwa kila mtumishi kuwa na mali za zilizo nje ya mishahara yao.

"Kweli naweza kusema Kevella mwanangu yule kazi alijitahidi kufanya kulingana na uwezo wake kwani alifanya vile alivyoweza japo mengine yalimshinda ila mimi sasa nitamsaidia Kevella ila wananchi tukicheza na Lwenge ambaye amesimamishwa na CCM jimbo hili tutavuna mabua ….Lwenge ni ngedere sio wa kumchagua huyo amewekwa tu ili kulinda ufisadi "

Katika kuthibitisha usafi wake Nyimbo aliwataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua yeye na kuwataka wale wa Njombe wa jimbo la Njombe Kaskazin kutokubali kumchagua Deo Sanga mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa madai kuwatachekwa dunia nzima kutokana na kuwa na elimu ya darasa la pili.
 
Josephine,
Sio kila shida zako na za Pro-Chadema wenzako zimesababishwa na CCM shida zingine mmezisababisha nyie wenyewe kwa mikono yenu wenyewe...
 
Last edited by a moderator:
josephine,
sio kila shida zako na za pro-chadema wenzako zimesababishwa na ccm shida zingine mmezisababisha nyie wenyewe kwa mikono yenu wenyewe...

nikuulize swali....gari ikipinduka na abiria kujeruhiwa je uzembe ni wake kutovaa mkanda au dereva kuendesha vibaya?
 
Mkuu mbona alfu lela ulela nyiiiingi!
Nani alikuambia kuwa politics ni static?

Na bado kabla ya 2015 tutaona mengi tu!
 
“Mimi nashangaa sana mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Pindi Chana ambaye alitetea kukatwa kwa jina langu Dodoma kuwa mtaua chama ila leo amekubali kutumwa na CCM kuja kunichafua na kumpigania Lwenge asiyekubalika katika jimbo hili…..mimi nawaomba wana Njombe Magharibi msimsikilize Pindi Chana, Anna Makinda na Augustino Mbanga ambao wanapita kumnadi mbunge asiyechaguo lenu”

Hata hivyo Nyimbo alisema aliwaomba wananchi wa jimbo la Njombe Magharibi kumruhumia aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Kevella kwa kushindwa kupigania kupanda kwa bei ya mbolea ya ruzuku katika jimbo hilo kutokana na kushindwa ushirikiano mzuri toka halmashauri ya wilaya hiyo ambayo imetawaliwa na ufisadi mkubwa kwa kila mtumishi kuwa na mali za zilizo nje ya mishahara yao.

“Kweli naweza kusema Kevella mwanangu yule kazi alijitahidi kufanya kulingana na uwezo wake kwani alifanya vile alivyoweza japo mengine yalimshinda ila mimi sasa nitamsaidia Kevella ila wananchi tukicheza na Lwenge ambaye amesimamishwa na CCM jimbo hili tutavuna mabua ….Lwenge ni ngedere sio wa kumchagua huyo amewekwa tu ili kulinda ufisadi “

Katika kuthibitisha usafi wake Nyimbo aliwataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua yeye na kuwataka wale wa Njombe wa jimbo la Njombe Kaskazin kutokubali kumchagua Deo Sanga mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa madai kuwatachekwa dunia nzima kutokana na kuwa na elimu ya darasa la pili.

Mkuu mbona alfu lela ulela nyiiiingi!
Nani alikuambia kuwa politics ni static?

Na bado kabla ya 2015 tutaona mengi tu!
 
Ila wewe First Lady una tatizo fulani. Kwa nini wewe ni mzungumzaji sana kiasi kwamba mtu anaweza kudhani wewe ndio msemaji wa CHADEMA?!. Kwa nini usifuate mfano wa mke wa Mbowe ambaye si mropokaji wala msemaji sana?!. Jaribu kuji-behave wewe ni First Lady mtarajiwa. Huu ni ushauri tu ila kumbuka ushauri si deni.
Nimerudia kusoma bandiko la Josephine ili kujua kama ni tamko la CDM sijaona acha kukurupuka mkuu
 
Mwaka 1978 nilikuwa Mbambabay, safari ya Mbay - Dar ilikuwa kama ifuatavyo:
siku ya 1; kutoka Mbay - Mbinga 70km kuanzia saa 12:30 asubuhi - 9:15 adhuhuri
siku ya 2; kutoka Mbinga - Songea 95km saa - 1:00 asubuhi - 8:00 Mchana
siku ya 3; Songea - Njombe 235km saa 10:00 Jioni - 12:00 asubhi
siku ya 4; njombe - dar 720 saa 12:30 asubuhi - saa 6:00 ucku
Jumla zilizotumika CKU 5.

Tarehe 3/10/2012 nimeondoka Mbinga - Songea km 95 saa 12:00 asubuhi - saa 2:25 nikapanda basi SUPERFEO saa 3:30 nikafika Dar saa 4:50 ucku. Nikawa nimetumia cku 1.

HONGERA CCM KWA KAZI NZURI UNAYOIFANYA. WANANCHI TUNAONA HATUTISHWI NA WAONGO WANAOAMINISHA WA2 KWAMBA NCHI INARUDI NYUMA.

MBELE DAIMA NYUMA MWIKO
 
Na wewe tuna kushauri uwe unanyamaza kama huna cha kuchangia! Baada ya kuchangia mada wewe unaanza kupambana na mtu!

Jiulize kwa nini na wewe unaongea utafikiri umetumwa kupambana na mtoa mada!

Hii inaonesha hata kwenye familia yako jinsi wengine unavyo waziba mdomo!

Acha ukweli usemwe hata kama una uma!

tatizo wanataka kila mtu afiche ID yake kama alivyofanya JK na Mkewe, wapo humu ila ID zao huwa hawazitoi bcs hawana hata chakutetea!
 
Mama Mbowe yuko wapi jamani? Naona yeye amejikalia kimya akilea familia. Huyu hajahalalishwa lakini ndio amekua msemaji wa chama.
 
Back
Top Bottom