Chama cha mapinduzi kimeshika utamu badala ya hatamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha mapinduzi kimeshika utamu badala ya hatamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Feb 18, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Miaka ya nyuma watanzania tulikuwa na kamsemo eti chama kimeshika hatamu,baada ya mabadiliko ya katiba yaliyoruhusu vyama vingi sasa kale kamsemo kamebadilika na wanasema Chama Cha Mapinduzi kimeshika utamu

  Nionavyo haka kautama katabadilika karibuni Chama Cha Mapinduzi kitashika machungu kwani ni hivi karibuni tuu kitaondolewa kwenye utamu kwa nguvu ya UMMA
   
 2. E

  Elifasi Senior Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....si rahis EL akiwa NGUVUNI na RA akiitwa HONOROBBER (mhishmiwa) mwakilishi wa wanauchi... Mi naona tuanze nao hawa kwanza. Kwanini? CCM ni personalized brand - away from an institutionalized party, KM MREMA anavolazmisha ku-personalize UPINZANI.... a lesson as well for CDM.
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na huo utamu ndio unawanyima usingizi now!
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  SASA WANATAMANI WARUDIE KUSHIKA HATAMU,NASIKIA KIKAO CHAO KUHUSU KATIBA WALIJADILI PIA SWALA LA KUFUTA BAADI YA VYAMA VYA UPINZANI,WANATAKA VYAMA VIWE VIWILI TUU YAANI CCM NA MKEWE CUF ,VINGINE INCLUDING CDM VIFUATE NYAYO ZA CUF AU CCM NA SIO KILA CHAMA KUWA NA KAULI MOJA

  ngoja tuone mapendekezo ya tume ya katiba,MOTO WA MISRI NAUONA KWA KARIBU SANA HAPA
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  UTAMU NA HATAMU Raha sana
   
 6. E

  Elifasi Senior Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usingiz unaukosa ww rafki angu.

  Wao wamelala wakilindwa, mgao hawaujui, magari yao tunajaza mafuta kwa kodi zetu, mfumuko wa bei wanausoma magazetini, huduma za kijamii kwao 1st class-zile 90m, heath insurance na private ambulances chamtoto...
   
Loading...