Chama cha Labour Uingereza nguvu ya soda

Chama cha Labour Uingereza nguvu ya soda

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,335
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Yani wameshinda uchaguzi Uingereza yani hata masaa 24 hayajaisha waziri mkuu kashafuta mpango wa kupeleka wakimbizi Rwanda.

Mara taifa la Palestina litambuliwe na kuwepo kwa cease fire.

Waziri wa mambo ya nje kashaenda Brussels na Ujerumani kukutana na mawaziri wa nje ujerumani.

Sijui waziri gani wa mipango mji kashafuta sheria ya mipango mji iliyokataza makazi zaidi kujengwa baada ya wanaharakati wa climate change kulivalia njuga.

Waende tu taratib na nguvu zao za soda. Yani hata masaa 24 hayakuisha.
 
Wewe hipendi palestina itambuliwe?
Hupendi Amani wewe?
Wale watoto wa Gaza kosa lao nininu????
Huyo anataka taifa lote lizikwe kwa madai yake hao ni magaidi akat watu wanagombnia Uhuru wao
Udini umkaa xnaa mpk anashindwa kuona Palestine hata wakristo wenzake wako
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Yani wameshinda uchaguzi Uingereza yani hata masaa 24 hayajaisha waziri mkuu kashafuta mpango wa kupeleka wakimbizi Rwanda.

Mara taifa la Palestina litambuliwe na kuwepo kwa cease fire.

Waziri wa mambo ya nje kashaenda Brussels na ujerumani kukutana na mawaziri wa nje ujerumani.

Sijui waziri gani wa mipango mji kashafuta sheria ya mipango mji iliyokataza makazi zaidi kujengwa baada ya wanaharakati wa climate change kulivalia njuga.

Waende tu taratib na nguvu zao za soda. Yani hata masaa 24 hayakuisha.
Hivi unajua na investment yote waliyofanya Rwanda hadi sasa aliyekubali kuja ni mtu mmoja. Huu mpango ulikuwa wa kufail. Wanajaribu kuiga walichofanya Australia miaka fulani. Kwenye zile premises Rwanda ni mtu mmoja tu anayeishi hapo aliyekubali kurudi.
 
Wewe hipendi palestina itambuliwe?
Hupendi Amani wewe?
Wale watoto wa Gaza kosa lao nininu????
wakulaumiwa ni Hamas kujificha kwenye matako yao. Pia wakulaumiwa ni wanawake wa kipalestina kukubali kubeba mimba na kuzaa terror breds na future terrorists.

Waliyataka wenyewe.

NO MERCY

REST IN PEACE WAKULIMA NAMBA MOJA BROTHERS IN CHRIST CLEMENCE MTENGA NA JOSHUA MOLLEL

ISRAEL FOREVER
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Yani wameshinda uchaguzi Uingereza yani hata masaa 24 hayajaisha waziri mkuu kashafuta mpango wa kupeleka wakimbizi Rwanda.

Mara taifa la Palestina litambuliwe na kuwepo kwa cease fire.

Waziri wa mambo ya nje kashaenda Brussels na ujerumani kukutana na mawaziri wa nje ujerumani.

Sijui waziri gani wa mipango mji kashafuta sheria ya mipango mji iliyokataza makazi zaidi kujengwa baada ya wanaharakati wa climate change kulivalia njuga.

Waende tu taratib na nguvu zao za soda. Yani hata masaa 24 hayakuisha.
Umezoea haya makonokono hapa

USSR
 
Kwaio rwanda iyo ardhi waliyokuaa wanaigawa si watupatie sisi tz tukapige kilimo cha ubabaishaji🥸
 
Wewe hipendi palestina itambuliwe?
Hupendi Amani wewe?
Wale watoto wa Gaza kosa lao nininu????
Wewe ni jitu jeusiii tii lakini haikuumi kabisa watoto wakiafrika wakifa kwa maelfu huko Sudan. Kisa tu unatamani kuwa mwarabu.

Israel don't sort them just kill them all.

Nyau harfizally
 
Hizo ni hasira za raia wa uingereza kwa upuuzi waliofanya waconservative sawa sawa na ujinga wa wacentrist wa ufaransa,hivi sasa tuna subiri pale kwa babu Biden tumalize upuuzi uliojaa ndani ya hii dunia🏋‍♂️
 
Wewe hipendi palestina itambuliwe?
Hupendi Amani wewe?
Wale watoto wa Gaza kosa lao nininu????
Kama wewe hujali familia yako unawatoa kafara ukitegemea jamii za kimataifa waje kuwanusuru wewe ni boya.

Halafu kwani wanaoteseka duniani ni watoto wa Gaza tu? Watoto wangapi wa kitanzania wanakufa kwa utamialo na kukosa huduma za afya?
Sudan watoto wasio na hatia wanazikwa wakiwa hai kisa weusi, kwani watoto Sudan kosa lao nini?
 
Umezoea kufanya kazi polepole. Wenzetu wanaendelea kwasababu ya hiyo kasi.
Hao hawafanyi mambo yao kwa kukurupuka; wana mipango yao kuhusu masuala yao ya kitaifa; hawakubahatisha kuwapiga chini Conservative, walipanga mikakati ambayo ndiyo wanayoendelea nayo;.
 
Back
Top Bottom