Chama anaburudisha na kuumiza

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,202
Reaction score
138,575
Your browser is not able to display this video.

Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia.

Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo kwaanza Chama anazidi kutoa burudani!
 
Unatafuta furaha ya muda mfupi tu we Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC. Huyo ni mchezaji wa kushine dhidi ya timu ndogo, akikutana na wababe huwa mavi matupu.
 
Kibu d pia anatuburudisha ntamfungulia uzi baadae nimsifie
 
Unatafuta furaha ya muda mfupi tu we Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC. Huyo ni mchezaji wa kushine dhidi ya timu ndogo, akikutana na wababe huwa mavi matupu.
Lugha chafu kama vile ulishikiwa bunduki kujiunga na jamiiforum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…