severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,397
Na yule kocha wenu mwenye ndevu nyingi? Ngoja tu na Mimi nifuge ndevu naweza pata kibarua cha kuinoa mikia a.k.a makinikia.Kiuhalisia simba inazizidi timu zote za Tanzania kwa sasa kuanzia talented players mpaka fedha. Mkuu kubaliana na hili hata kama wewe ni chura Yanga ina mashindano mawili tu labda na mapinduzi ijitokeze haina mashindano yoyote ya kimataifa.
.
Ukitaka soka la burudani la kukupa raha roho mpaka mwili hamia simba mtani.