Chama "A" kinasumbuliwa na laana

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Jiandaeni kisaikolojia kusikia mengi ya ajabu na ya aibu kuhusiana na watu wa chama hiki kutokana na laana inayowatesa.Wanawatoa kafara watu wa chini wakidhani wao ndio watabaki salama.Nawaambieni hata Mungu ewachoka na mapigo yatakuwa ni bandika bandua kama yale ya Farao kwa kuwatesa wana-Israel.

Kuna yule mmoja aliekufuru na kuingilia kazi ya mungu kwa kudhihaki wengine majukwaani ili tu chama chake kiingie madarakani nae asubiri zamu yake wala haiko mbali.

Uovu wenu ni mwingi na hauvumuliki hata kwa Mungu na cha ajabu hamtaki hata kutubu.Mmetesa watu wenu na bado mnaendelea cha moto mtakiona.

Hawa watu hawana baraka za mungu ndio maana wanahangaika kila kukicha.
 
Back
Top Bottom