kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Unazungumzia kutoka kwenye practical viewpoint au kwenye experience ya watu wengine?mfanya biashara?!
sasa kama jambo dogo kama hilo limekushinda kutatua, hiyo biashara yako unaiendeshaje? ngoja waje.
mfanya biashara?!
sasa kama jambo dogo kama hilo limekushinda kutatua, hiyo biashara yako unaiendeshaje? ngoja waje.
labda we ndo hujamuelewa, huyo mwanamke ni mchumaji sio mtaftaji. hapo ni kumuacha tu uendelee na maisha yako sio kulia lia na hesabu ndogo kama hiyo.Unazungumzia kutoka kwenye practical viewpoint au kwenye experience ya watu wengine?
Umemuelewa kweli mleta mada?
Au umeamua tu kumkejeli?
Nilipozinguliwa na demu wangu wa kwanza kipindi nipo sekondari niliona dunia yangu imefika mwisho, then nikapona maumivu, baada ya muda nikakolea tena kwa mwingine nikaumizwa tena, then nikapona, then nikafall tena,
Baada ya hapo nikajifunza jambo kuwa kwa mwanaume kuumia kwa kuachwa na mwanamke ni wewe mwenyewe. Mwanamke hakuumizi ni kama upige ngumi ukuta then useme ukuta umekuumiza, no ni wewe umejiumiza.
So control hisia zako. Find the next lady the feeling is always the same ukikolea nae..... Ndio maana me mwanamke aliponambia tuachane au akiniletea vituko jambo la kwanza namuonyesha ni upo serious unataka nikupotezee?! Akisema ndio then njia hiyo nyeupe nakuachia afanye anachotaka.....
Mimi naandaa mazingira ya kupokea mwanamke mpya. Imagine kwa kila mwanamke m'moja unayeachana nae ile nafasi una guarantee ya kujazwa na wanawake 6 zaidi tena wazuri ni wewe tu kukomaa na hunting skills zako.....
Nilitegemea comment ya aina hii[emoji2][emoji2]Wanaume tunazidi kupungua kwa kasi. Hili nalo nilakuomba ushauri kweli .
Ww naye unafikiri kujenga nyumba rahisimfanya biashara?!
sasa kama jambo dogo kama hilo limekushinda kutatua, hiyo biashara yako unaiendeshaje? ngoja waje.
Kweli naona Dada yake nayy kaachika Ndani ya miezi sitaKama umesema asili ya kipemba achana nae kama wew ni wabara.
Narudia tena wala usitishike na suala la pesa au nyumba.ni jadi yao wale hata uwe na pesa vipi wale ndo walivo ni wasumbufu mno wakiolewa na mbara.
Yaani wao hua wanaringia weupe ili aonekana ni mzuri basi anatakiwa aolewe aachike akiolewa tena ivo ivo.
Kaachika mara mbili ajabu unasikia mie ndo Kwanza Nina chungu Cha pili!!
Utastaajabu sanaa yakheee.
Achana nae sogea umasaini watoto kibao.
Baada ya miaka 5, mtafute kwa nia ya kumjaribu tu.Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa nimepanga vyumba viwili chunba na sebule vya kodi elfu 70 huyu mwanamke kanikataa kasema hawezi kuishi na mwanaume mwenye vyumba viwili anataka mwenye nyumba yake hanionei hata huruma kwa umri huu wa miaka 30 na yeye 25 anashindwaje tuishi wote huku tukijipanga isitoshe yy jobless na Mimi mfanyabiashara dah
Ila bingwa we mwamba Sana. Ndo maana binti Karma mnazinguana Sana [emoji1787][emoji12][emoji23][emoji3][emoji2][emoji28]Nilipozinguliwa na demu wangu wa kwanza kipindi nipo sekondari niliona dunia yangu imefika mwisho, then nikapona maumivu, baada ya muda nikakolea tena kwa mwingine nikaumizwa tena, then nikapona, then nikafall tena,