Chale zenu mwilini zinatutisha

Pole mkuu
Huwa unaramba mafiga?

Wacha huo mchezo kabisa
 
Aisee hata Mimi Nina chale kifuani hapa na karibu kwenye tumbo Tena ni kubwa balaa nilichanjagwa nikiwa mdogo sielawagi Ila enzi hizo kijijini kwetu Njombe huko ndani kulikuwa na wachawi wengi basi tulikuwa tunapelekwa Kwa waganga kujikinga . Ila nikiona demu ana chale nami nashtuka. Ila kwasasa am educated siyapendi na wala sipendi wadada wenye tabia za kwenda Kwa waganga balaa
 
Mi ndo mana sipendi kulala na wanawake hovyo hovyo...

mambo ya kutiana mikosi siyataki Sasa nyie okoteza pambaneni na mikosi hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…