Mmoja wa madereva wa magari ya kenta katika Soko Kuu Arusha amesema wamiliki wa magari wanakabiliwa na mzigo mkubwa wa tozo na gharama mbalimbali zinazowafanya kuendesha biashara kwa ugumu.
Amesema gari moja hulazimika kulipia ada za maegesho, ushuru wa sokoni, hukaguliwa na mamlaka mbalimbali...
Wakuu,
Kwa mafundi magari (mechanics) na wamiliki wa magari wanaopenda kufanya ukaguzi wa magari yao mara kwa mara, kuna OBD II Diagnosis Scanners hapa za bei ndogo.
1. ELM 327 Mini OBD II Bluetooth Scanner - Tsh 15,000/=
-Hii ipo ya V2.1 versions
-Inatumia Bluetooth, utadownload App kwenye...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) kusikiliza maoni ya wamiliki wa magari baada ya kupanda kwa gharama za mafuta.
Chanzo: Swahili Times
Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta.
Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!!
Total energies...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.