Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,985
- 93,996
Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni ......... kuzama kwa meli ya Mv Bukoba
Kuzama kwa MV Bukoba ni moja ya chanzo cha maendeleo duni mkoa wa Kagera???