Chalamila akiwalisha ndizi ngedere

Hivi kuna tatizo wakuu? Au ukitoka kwenye nafasi za ukuu wa mkoa, ndio unakuwa mfu, huishi tena?
 
iyi clip kwa wenye uelewa mpana ina maana kubwa sana
nadhan anaonyesha kwamba alikua anapigania haki na ugali wa wanyonge ila ndo ivo.
ngedere wanyonge
thinkin out loud....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…