Habari wandugu,
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote aliye/anayefahamu mtu anatengeneza (kombucha - fermanted tea)chai iliyochachushwa au wengine wanaita chai ya kichina. nahitaji hiyo chapati - (SCOBY)
Ukiipata uniarifu na mimi. Niliitumia miaka ya 90; Niliipata Iringa mjini. Baadaye nikaipoteza kutokana na mizunguko mingi ya kimaisha. Ni nzuri sana hiyoo kitu.