Everything ex baeHujaelewa nini ex bae?
Ex bae ni sawa na muwa, usiufanye walking stick....Hujaelewa nini ex bae?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ex bae ni sawa na muwa, usiufanye walking stick....
Naenda kulala braza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa naendaNaenda kulala braza
Hahahahaja eti job description niliulizwagwa hili swali kwenye interview wht is job descrption,job evaluation,job analysis and job design daaaah kazi hiziHivi hiyo JD
Ni Job Descripton eeh?
[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaja eti job descriptionniliukizwagwa hili swali kwenye interview wht is job descrption,job evaluation,job analysis and job design daaaah kazi hizi
Jackdaniels bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio.na mi JD nnayo ijua hiyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jackdaniels bwana
Hahaha huwa inafupishwa hivyo ...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asa si ange itaja tuu hivo
Sawa okey[emoji23]Hahaha huwa inafupishwa hivyo ...
Yes kwenye kulewaa hapo ndo maana na mm nimesema itakuwa walizidisha au sijui walipikaje bt pombe mara nyingi huwa zinatumikaa kwenye nyama sana sana .....My dear Mzigua90 ngoja nikupe fundisho la maakuli leo.
Mara nyingi wakati wa kupika nyama wazungu hupendelea kuweka pombe (hata beer wakati mwingine). Mara nyingi hutumia white wine.
Kutumia kilevi kwenye chakula kuna maana nyingi;
- flavour: pombe inachanganyika vizuri na mafuta na maji hivyo inasaidia kuongeza harufu nzuri kwenyc hakula chako. Kwa hili pombe inatumika tu kama seasoning.
- Pia kwa case ya nyama, inasaidia sana kuondoa harufu kali ya nyama (especially kama mbuzi). Unaweka kidogo tu maana ukiweka nyingi nayo inaharibu protini iliyopo kwenye nyama. Siri: tumia pombe nzito kwa red meat na pombe nyepesi (gin nk) kwa nyama nyeupe na seafood.
- Mbadala wa maji: hii nayo usiitumie sana. Hasa wakati unamalizia kupika, badala ya kuongeza maji basi unaweza kuongeza pombe.
Hao wamarekani wako kuna uwezekano mkubwa waliweka hiyo JD mwishoni mwa mapishi kwa mantiki hiyo kilevi chote hakikutoka. Generally ni ngumu kulewa kwa chakula kilichopikwa na pombe maana heat inaua uwezo wa kinywaji kile kukulevya.
Alternative nyingine, kwa kuwa umesema kuliambatana na maumivu ya tumbo, huenda your body doesn't react well to alcohol.
Ila mpaka ule nyama za kukulevya..nawe utakuwa mlafi. Yani inakubidi ule hasaa kama vile hizo nyama ndo lunch na dinner. Very rarely mtu utalewa kwa chakula kilichopikwa na pombe.
Yes kwenye kulewaa hapo ndo maana na mm nimesema itakuwa walizidisha au sijui walipikaje bt pombe mara nyingi huwa zinatumikaa kwenye nyama sana sana .....