Yaani kupika kiburu hapa mjini yataka uwe na moyo wa ziada;
hongera zako, ila angalia magadi yayeyushe vizuri wanasema
vumbi lake linaleta kale kaugonjwa kakubwa.
Gesi yenyewe ni zaidi ya nusu laki, uchemshie maharage.
Ha ha ha haaa
haaaa, hilo jina sijalitamka miaka mingi sana,
asante kwa kunirejesha kanyi.
Naanza kuwa na mashaka na upishi wako!!!hehehe, mjini liwa uliwe. uje na mtungi wa gesi manake si unajua maharagwe ya magadi hadi yaive?
cc Mamndenyi
We ndo mtam.......kwa aliyeshawahi kula hii chakula
Naanza kuwa na mashaka na upishi wako!!!
Hii makitu inapikwa kwenye mafiga.....sasa yale hayajui gesi wala tanesko!!!
Naanza kuwa na mashaka na upishi wako!!!
Hii makitu inapikwa kwenye mafiga.....sasa yale hayajui gesi wala tanesko!!!
Sema mkuu, naona amekupatia haswaaMmmmmh
Sema mkuu, naona amekupatia haswaa
duh ndo habar za likizo hizo!!Yaaa kanikumbusha home nikienda lazima Nile kiburu
duh ndo habar za likizo hizo!!