chakula hiki kitamu

Duh umenikumbusha mbali sana.
Nnahamu nacho sijui namna ya kukipata, alikuwa ananipikia bibi yangu, maskini sasahivi hajiwezi kwa maradhi.
 
Kibulu ila weka na ile ngata ya kunywea
na huyo mpikaji anatakiwa apikie kwenye kile chungu kifupi
 
aisee nna machalare hapa nilichukua mazuriii, inabidi tufanye kiumbo jumamosi. karibu sana. sabasaba tunaweza tukawa tumesha-rip ujue
Waonaje ukipika na kunialika sabasaba..
 
Reactions: RR
Yaani kupika kiburu hapa mjini yataka uwe na moyo wa ziada;
hongera zako, ila angalia magadi yayeyushe vizuri wanasema
vumbi lake linaleta kale kaugonjwa kakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…