Chakula gani wapendelea kula wewe?

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Mamboz.
Nimetamani kushare na kusikia kutoka kwa member yoyote atakeweza kushare nami hapa aina ya chakula apendacho kula, akiwa nyumbani, mgahawani au hata special outing (dinner)

Mimi binafsi napenda chapati harage nikiwa home (siku za kawaida)
W'end nipate pilau kuku
special dinner chicken sizzling au chicken pizza
daily breakfast chochote kile hata uporo unapanda tuu..
Vipi wewe mwenzangu wapendelea nini kwa nyakati tofauti???
 
Ugali na Samaki ugonjwa wangu mkubwaaaa sana ikfuatiwa na mchesho wa samakiiii
 
Breakfast....chai ya maziwa yenye tangawizi ya wastani,chapati au vitumbua na salo la maini(zito la kuua mtu),katlesi au samaki vibua wa kupaka waliokaangwa vizuri(nakula mpaka mifupa).
Lunch.....Ugali na nyama choma,unaweza kuweka limao nusu on the side au kachumbari au pilipili mbuzi moja.
Dinner.....pilau ya ng'ombe(nundu) na kachumbari,wali mweupe wa nazi na maharage,au ndizi mshale na mbuzi(mbavu),sitajali kama utanipikia na utumbo(taulo).

Milo miwili kwa siku lazima iambatane na Heinekken baridii!! mpaka inatoa jasho.
 
247.JPG karibuni nanihii!!
 
Pombe nyingi, nyama choma pale Carnivore Naii especialy ya Mamba, turkey, kitimoto... Nikiwaga home kule Mara nakula ugali mtama na mhogo kwa mbali, nyama maini, utumbo, steak zote choma(mixd grill), sukuma wiki, kichuli(damu mbich, mavi kidogo ya ng'ombe), sukuma wiki na mtindi wa asili. Huku hatuli sembe kama wale jamaa wa kule ndo maana tunawazidi kumbukumbu, maamuzi na uwezo wa kufikiri. Mshaurini Kiwete apige mambo haya atabadilika
 
Breakfast....chai ya maziwa yenye tangawizi ya wastani,chapati au vitumbua na salo la maini(zito la kuua mtu),katlesi au samaki vibua wa kupaka waliokaangwa vizuri(nakula mpaka mifupa).
Lunch.....Ugali na nyama choma,unaweza kuweka limao nusu on the side au kachumbari au pilipili mbuzi moja.
Dinner.....pilau ya ng'ombe(nundu) na kachumbari,wali mweupe wa nazi na maharage,au ndizi mshale na mbuzi(mbavu),sitajali kama utanipikia na utumbo(taulo).

Milo miwili kwa siku lazima iambatane na Heinekken baridii!! mpaka inatoa jasho.

Mhh, wewe ni noma... budget yako ni kubwa!!!! haya ni ya wewe na familia yako home au binafsi mitaani... maana wengine wanaacha home ugali tagaa au tembele... halafu ona wao street wanavyojichanua
 
Mimi wifey na "mannie" my son,he's three.When I go out I prefer mexican foods.
 
mie huwa napendelea mchana kula wali na ndii bukoba kwa pamoja, ni mpenzi mkubwa wa maharage pi utumbo wa taulo na[endelea bila kusahau karanga za kuchemsha
 
Mamboz.
Nimetamani kushare na kusikia kutoka kwa member yoyote atakeweza kushare nami hapa aina ya chakula apendacho kula, akiwa nyumbani, mgahawani au hata special outing (dinner)

Mimi binafsi napenda chapati harage nikiwa home (siku za kawaida)
W'end nipate pilau kuku
special dinner chicken sizzling au chicken pizza
daily breakfast chochote kile hata uporo unapanda tuu..
Vipi wewe mwenzangu wapendelea nini kwa nyakati tofauti???

Nikiwa hom asubuh ni Uji safi wa lishe/juisi ya asili/Maziwa freshMCHANA-.Ugali nyama/samaki wa kukaanga na mboga mboga ila juisi/tunda ni lazima. Jion Ndiz BK/mhogo na mbogamboga kama kawa. NJE ya hom hupenda chips nyama choma na juisi asili/Ndizi choma.Weekend- Nikiwa hom Biriyan la KIKOMORO/KIHINDI.Nje ya hom nyama choma fanta bariid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom