Chakula Cha Valentine. Enjoy Lovers Club

Hivi valentine day inachukua masaa mangapi? au siku ngapi?
 
Duuh hiyo mesi ya 2 na 3 ndo mpango mzima. Mbuzi Mzee weshakupeleka uhindini, hiyo yenye mapelepele menu lazima uweke fire extinguisher ukienda chooni.
 
Last edited by a moderator:
Unajua ule mtoko wetu wa jana niliweka order ya msosi kama huo, nilishangaa hata hukutokea aisee...

Duuh hiyo mesi ya 2 na 3 ndo mpango mzima. Mbuzi Mzee weshakupeleka uhindini, hiyo yenye mapelepele menu lazima uweke fire extinguisher ukienda chooni.
 
Last edited by a moderator:
Mambo niaje best....hope uko poa.
Yaani best kwa choice hiyo wewe utakua either ni Mchaga, Mhaya au Mnyakyusa maana hao raia kwa hiyo menu ndio wenyewe...

Yesu yangu, hapa nimefika...ndizi nyama mamawee!! iko penda sana hii msosi
 
Hii misosi inanikumbusha restaurants za huko Kuala Lumpar - Malaysia...

Mambo niaje best....hope uko poa.
Yaani best kwa choice hiyo wewe utakua either ni Mchaga, Mhaya au Mnyakyusa maana hao raia kwa hiyo menu ndio wenyewe...

Powa kabisa rafiki..vp wewe? naamini wewe umeanza wikend salama!!
Mie kaskazini besti..ha ha..!!
 
hilo pilau ni hatare tupu yaani ndio nimemaliza kula sasa hivi..
 
Powa kabisa rafiki..vp wewe? naamini wewe umeanza wikend salama!!
Mie kaskazini besti..ha ha..!!

Mie niko poa sana tu...mmh kwangu weekend ikifika huwa natamani hata iwe ni siku 4.
Hahaha...nilihisi tu mpendwa maana hao ndio watani zangu, linapokuja suala la ndizi hakuna kulazia damu...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…