Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Ukomo wa fikra kutoka Chadema, wanatamani watu wote wawe Chadema, ukiwa CCM basi unafuata maslai..Vijana watakaoenda Lumumba University bila shaka watakuwa wamezidiwa na matumbo zaidi kuliko ufikiri.
Ni bora wenye uwezo mdogo kuliko Lumumba FC wasio na uwezo kabisawatu wa ufipa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Wanatumia nguvu nyingi sana kuhoji alipo kinana na kufuatilia rambirambi ambazo wao hawajachanga,kuliko kumfuatilia alipo mwanachama mwenzao Ben saanane
Ufipa university inatisha.Fact No. 1: CCM na CHADEMA zimeamua kuanzisha Vyuo Vikuu vya kisiasa na nyanja nyinginezo.
Fact No. 2: Chuo Kikuu cha CCM kinaitwa Lumumba University. Cha CHADEMA kinaitwa Ufipa University.
Fact No. 3:Wahadhiri ni viongozi na wanachama wa sasa wa CCM na CHADEMA kwa Lumumba University na Ufipa University kama zilivyotajwa.
Fact No. 4: Waombaji,wanafunzi watarajiwa,wanavutiwa na uwezo wa kujenga hoja,uwezo wa uvumilivu wa kisiasa,ubunifu na ubora wa elimu watakayoipata.
Chuo Kikuu kipi kati ya Lumumba na Ufipa kitapata wanafunzi wengi,hata kama ada na gharama nyinginezo ziko sawa?
Ni kweli chadema kwa sasa uwezo wa kujenga hoja mdogo mno slaa na mtandao wake ndio walikuwa na hoja nzito kuweza kushindana na wana CCM mtandao hawa waliopo wepesi mno. Sababu unajua kabisa wanajadili sana matukio.mfano mtu akiandika Mbunge wa CCM alazwa kwa TB utaona watakavyo jaa humu na chadema yaweza itisha kikao cha kamati kuu kutoa tamko la chadema kuwa afukuzwe ubunge asiwaambukize TB na Lisu atakuja na vifungu vya kuokoteza hapa na pale kuunga mkono tamko la chama chake. Mtandao wa Great thinkers umeondoka baada ya Slaa kuondoka. Huu Mtandao wa mbowe too Lowwatu wa ufipa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Wanatumia nguvu nyingi sana kuhoji alipo kinana na kufuatilia rambirambi ambazo wao hawajachanga,kuliko kumfuatilia alipo mwanachama mwenzao Ben saanane
Hata jengo la ofisi hawana. Uchagani kuna msemo kuwa akili ni kitu kinachoonekana mtu akisema ana akili kwanza akuonyeshe nyumba yake pili biashara yake tatu gari yake. Hicho kijumba hapo ufipa makao makuu Ya chadema unaweza sema hao watu wamemaliza university iwe ufipa au machame university unaweza pia sema wana Akili?Ufipa university inatisha.
Na upande mwingine utajaza Mbwea na Nguruwe pori.Nyumbu wengi watajaa Ufipa
Hizi hoja mfano hii iliyoletwa na mleta ambaye ni chadema Ndio picha halisi Ya thinkers wa mtandao wa mbowe na tundu hawajui kuibui hoja nzito kwa discussion humu ungetarajia msomi kama yeye tena wa sheria aibue mijadala mizito mfano gari iliyoua watoto wa St Vincent ilikuwa haina bima majeruhi na wafiwa watalipwaje? Lakini kutoka na upeo wake finyu analeta maada tujadili vyuo hewa ambavyo havipo na tujadili graduates hewa ambao vyuo hivyo havijawahi toa. Sijadili tena hii inanipunguzia IQ yangU bye byeNa upande mwingine utajaza Mbwea na Nguruwe pori.
vilaza,mabashite,wachawi,mafisadi,madikteta mtajaa CCMNyumbu wengi watajaa Ufipa
Nilijibu swali! Kama ungekuwa na majibu yaliyosahihi ulikuwa na sababu gani kuuliza? Kama Ufipa university ingekuwa haitishi, nini sababu ya kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa? Kama Ufipa University ingekuwa haitishi, kwa nini haujalinganisha Lumumba University na Manzese University au hata Buguruni University?Hata jengo la ofisi hawana. Uchagani kuna msemo kuwa akili ni kitu kinachoonekana mtu akisema ana akili kwanza akuonyeshe nyumba yake pili biashara yake tatu gari yake. Hicho kijumba hapo ufipa makao makuu Ya chadema unaweza sema hao watu wamemaliza university iwe ufipa au machame university unaweza pia sema wana Akili?