Ugali maharage, wengine ugali dagaa tunakula sikukuu tu!ugali na dagaa!
watu wa mwambao...wali kwa dagaa/kauzu.
watu wa bara .....ugali kwa maharage
Hivyo hapo juu ni chakula cha kitaifa kwa walalahoi.
watawala....nyama choma,kitimoto,ugali
kuku, wali