Chakula Cha Samaki wa mapambo Kinauzwaje

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
Habari wanajamvi, Niko Hapa Mbele yenu Nahitaji Kujua Chakula cha Samaki wa Kufugwa Kinauzwaje, Na kinaweza Kuwalisha Samaki hao kwa Muda Gani hadi kiishe?
 
Chakula cha samaki huku kwelii? huku type habari za utamu na radha tuuu
 
Jamii forum kubwa sana halafu ina chocho za uswazi pia, mkuu utakuwa umepotea njia huku
 
mi wanakula kiini cha yai na mkate ila nawawekea kdogo cchafui maji
 
yupo sa

hihi samaki wa mapambo ni biashara kubwa sana hapa mjini , ka hujui fanya utafiti, ni ka biashara ya njiwa
Mkuu ina maana hujanielewa ama??? Au mimi sijaelewa??

Jukwaa aliloleta hii habari nadhani si mahala pake, huku ni malove tu
 
kg 1 inafika 15 elfu, kile cha samaki wa urembo lakini kwa hawa samaki wakula bei ni ndogo zaidi
 
o
Mkuu ina maana hujanielewa ama??? Au mimi sijaelewa??

Jukwaa aliloleta hii habari nadhani si mahala pake, huku ni malove tu
Mkuu ina maana hujanielewa ama??? Au mimi sijaelewa??

Jukwaa aliloleta hii habari nadhani si mahala pake, huku ni malove tu
oh kweli mkuu kaleta upande ambao sio anapoint, nadhani anapaswa kuwa makini katika kujua ni jukwaa gani anapaswa kuweka mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…