Jaman chakula cha mifugo hasa nguruwe au ngombe kinauzwa kwa bei chee kabisa.chakula hiki ni special kwani kina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo:
1.pumba
2.ngano
3.unga wa mahindi
4.mahindi yenyewe.
ni kizuri na kinanenepesha sana mifugo hasa nguruwe kwa muda mfupi.bei ni nzuri tutaelewana.kwa anaehitaji please piga namba hii
karibuuuuuuuuu