Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Nakumbuka miaka ya nyuma ealry 2000 kulikuwa na mama hapo Ubungo near YENU BAR alikuwa anaitwa MAMA CHILUBA alikuwa anapika chakula.
 
Ndio yule alikuwa maarufu kwa mtori, supu ya utumbo na supu ya mapupu?
Mimi nilikuwa namuonaga usiku akiuza chakula ,ni wale wanaopikia nyumbani kisha usiku wanakuja na mandoo yamejaa wali,ugali na mboga mboga kuja kuuza karibu na watu wengi.
 
Nilichogundua pia ni kwamba watu bado wanaishi sana kwenye hizi stori za zamani. Tunaamini au kuaminishwa vitu sasa kupitia stori hizi za zamani.

Nje ya mada: Uandishi 5star
 
Nilichogundua pia ni kwamba watu bado wanaishi sana kwenye hizi stori za zamani. Tunaamini au kuaminishwa vitu sasa kupitia stori hizi za zamani.

Nje ya mada: Uandishi 5star
Hii sio zile story za zamani hii ni simulizi ya kweli kutoka kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…