Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Nani anatokea Arusha, Moshi, Same, Mwanga halijui hili basi?? Hili ni basi linaloongozwa kupendwa na kupandwa na wafanyabiashara wengi wa maeneo hayo wanaowahi kufunga mzigo Kariakoo.. Yani mapema sana upo Ubungo pale. Lingine linalopendwa labda ni Ngorika.. Ila hili Chakito Longway sijaliona siku nyingi, vipi bado lipo???
Na nyie wa mikoa mingine hebu tutajieni mabasi yenu yanayopendwa na wafunga mizigo wa Kariakoo...
Na nyie wa mikoa mingine hebu tutajieni mabasi yenu yanayopendwa na wafunga mizigo wa Kariakoo...