hey wakubwa naomba kuuliza decoder yang ni star times ila kuna chanel inatoka saut tu afu inaandika no access not subcribed
kama kuna mtu anajua trick yoyote kuhusu kutumia free pasipo kulipia tafadhar naomba anijulishe
nasubiri kusikia kutoka kwenu wakuu