Chakachua ya mafuta!

Chacha wa Mwita

Senior Member
Joined
May 17, 2008
Posts
169
Reaction score
56
Kuna habari kwenye gazeti la mtanzania ukurasa wa tatu kuhusu kufungiwa kwa vituo vya mafuta vinavyo milikiwa na mbunge wetu wa Musoma mjini, kwa sababu ya uchakachuaji! Hii inamaanisha nini endapo mradi huu unamilikiwa na mtunga sheria/mwakilishi wetu??
 
wizi wa kawaida tu uliojaa ndani ya waheshimiwa
ndo maana rahisi
 

Eh, kwani yeye ndo hapendi pesa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…