CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

hahahahaha! Network za mpwapwa zinasumbua. Ngoja nivute subira. Akija hapa nitakuonesha. Lol.



Naona mmoja kisha kuja hapo anadai ni yeye (ChiefmTz)
 
Shwanga Husniyo!!! AshaDii Jamani si alale, Mi namuonea huruma.



DASA hebu naomba hizo sababu za msingi labda na mimi nitajionea huruma....lol
 
hehehe! Miss yaeda mambo? Mwenzio ndio hivyo tena. Kusema nashindwa.

Mambo poa miss Mpwapwa.....he!....ndio yamekuwa hayo tena.....?...sasa itakuwaje...?
 
Preta mie nina wasi hata kama kweli tutaambiwa hebu mcheki hapa chini....lol

Yamekua hayo tena?? lol... Hayo si maneno yako??

mmmh....hebu tusubiri.....
Husninyo ana jambo la kutueleza leo.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…