CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

I does with AIDS as financial support as well as a disease. But one of the beast hearing AIDS a man can have is an attentive wife



Man..... Really hope hapo sijaelewa kama nilivoelewa... What exactly is that??
 
heheh dah! waswahili wa pwani wanasema "mume majukumu, shemeji ucheshi" halaf wanamalizia na kile kicheko cha tarabu, sasa mimi si shemeji bana inabidi lazma nikachangamshe ka husny ketu ili kasiboreke ila huyu Uporoto nae amenilet down kwa cheusimangala, nilimpigia debe sana lakini siku hiyo kwa mshtuko sana cheusimangala akaja kutualika harusi mbele ya uporoto na bwana harusi sio uporoto. Sasa mara hii shemeji nimekaa mkao wa chura, akizembea narukia. (usiniquote)
 



Dah!!! "I am short of words" Source: Kaizer
 
Khaaaaaaa! hiyo ni habbar mbaya sana kwa yale makoloni lol



Na hilo ndo lilini-push... Baada ya kugoma kuchangia Uzi ule wa mwisho uloleta utata... Nikampa ultimatum.... PW or he lets go!
 
Duh! hivi ni wewe asha umenena maneno haya ? wewe mimi sio mwanaume wa kuonewa huruma na Husny yuko kwangu kwa mapenzi yake,ni kweli siwezi kuwa hapa muda wote naukimbia umaskini,kuna tuhuma kuwa we ni mod sasa hebu chungulia PM box yangu na pia tembelea visitor page uone totoz zinavyojigonga kwangu lakini sina time nao,mimi na hus hus na mimi,kloro asikupoteze ni besti yangu hapa.
 



Khaa! NIMEANI Kweli mtu chake.... Yaaani wee saa zoote haupo hapa kumbe you are watching?? lol.... Kweli Kuna Mapenzi ya dhati kati wee na Husny na niliwasoma vibaya.... Sasa hizo tuhuma hizo "Relax" sio kweli si wajua tena mie ninavounganishwa na vitu kibao?? Usiamini lolote dear.... Sasa unaonaje ukiniforwadia hizo pm... Nakuja na profile kukutembelea....
 
Man..... Really hope hapo sijaelewa kama nilivoelewa... What exactly is that??

That was Groucho Marx's definition of a wife. He was a comedian. He had many funny quotes like: "She got her good looks from her father--he's a plastic surgeon" and "The husband who wants a happy marriage should learn to keep his mouth shut and his checkbook open." Or "Pop never used a tape measure. He didn't believe in it. He said he could just look at a man and tell his SIZE, with the result that frequently he'd make a pair of pants with one trouser leg seven or eight inches longer than the other."
 



Sijawahi msikia aaaisee!! Seems to be a great comedian... Hapo pameniacha hoi! Where do i get his stuff Pal??
 
Reactions: EMT
Aminia kamanda. Wewe na husny kama e mail na paswedi.
 
There you go my dear: Groucho Marx - Biography Be carefully, he married three times and divorced all ofthem.

Thanks Pal.... will definitely look into it...

hehehe huyu auntie yako huyu! acha namimi nitimue tu, nitaludi


Jamani auntie wake kafanya nini tena?? lol


Una uhakika hajabadili ID?
heri mie sijasema


Umenimaliza nguvu!! Thou inanipa nguvu if he can go to all that trouble ili tu kukwepa kuniumiza.... then he loves me; thus worth it!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…