Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,050
- 2,896
Habari wakuu chaji Aina ya Infinix inauzwa bei sh 15000 aina kipengere chochote karibuni
Dah! Mkuu kweli kabisa elfu Moja miatano ingekuwa wewe ungejiskiaje hii yote ni shidakula 1500
NDo nayotumia Mimi simu hiiSim yake ipo wap
Uza vyote upate 150k iko mfuko wa shati hapaNDo nayotumia Mimi simu hii
Nakusafirishia unanipa. Maelezo lakini gharamaMkuu nipo kigoma nitapataje huo mzigo nimeuelewa!
Dha Dolo mkuu ntatumja niniUza vyote upate 150k iko mfuko wa shati hapa
unachuka kasimu kadogoDha Dolo mkuu ntatumja nini
Du mkuu hauna huruma changu ndo kinanitoa mkuuHata kama umefulia kiasi gn ila vitu vingine unagawa tuu sio lazima uuze khaa