Zipo Dar maduka ya simu esp Samsung, original Tzs 35,000 at a display price, vinginevyo ni jinsi unavyo bargain na muuzaji. Mimi bahati nzuri ninazo mbili sababu nasafiri sana kikazi hivyo naacha moja home na ingine nasafiri nayo in case ikipotea safarini nakuwa na backup.
Kawaida hii charger inakuwa na USB cable pamoja na charging machine, usiuziwe charger ambayo haiko ktk mfumo huo itakuwa ni feki hiyo.