Chaja ya laptop yangu aina ya Asus imeacha kuchaji ghafla

Chaja ya laptop yangu aina ya Asus imeacha kuchaji ghafla

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Watalaam kwema? ,chaja yangu ya laptop aina ya Asus imeacha kufanya kazi ghafla.

Naomba msaada wenu kujua nini tatizo juu ya Chaja hiyo na nifanyeje ili iweze kufanya kazi.
 
simply imeungua hyo charger...au charger system ya laptop imeunguza kifaa....muone fundi kwa udhibitisho zaid
 
Unaweza kuta kumbe ni fuse tu kwenye top plug imekata.
Ubaya wa hizi chaja hazina sehemu ya kufungua ili ubaini ndani kwa ndani kilicho zingua.

Bei yake huwa shilingi ngapi na upatikanaji wake ukoje?
 
Ubaya wa hizi chaja hazina sehemu ya kufungua ili ubaini ndani kwa ndani kilicho zingua.

Bei yake huwa shilingi ngapi na upatikanaji wake ukoje?
Mtaa wa Uhuru pale... Average ni 30K - 40K...

Ila komaa nao na 30K hapo au hata chini ya hapo.
 
Ubaya wa hizi chaja hazina sehemu ya kufungua ili ubaini ndani kwa ndani kilicho zingua.

Bei yake huwa shilingi ngapi na upatikanaji wake ukoje?
Ila mkuu, jaribu kucheck na hii sehemu... Labda waya ulijivuta kwa namna moja au nyingine asee...
IMG_20181008_192900.jpeg
IMG_20181008_192914.jpeg
 
Sasa hata sijui kama una ABC za umeme... Ilipaswa ucheck na hiyo fuse hapo kama ipo sawa(Kwa plug yenye pin tatu )
Ubaya wa hizi chaja hazina sehemu ya kufungua ili ubaini ndani kwa ndani kilicho zingua.

Bei yake huwa shilingi ngapi na upatikanaji wake ukoje?
 
Wasiwasi wangu ni kwamba unaweza ukakurupuka kwenda adapter nyingine kwa 30,000 kumbe ni fuse tu ya sh 200 ndo imekata.
Hii yenyewe iko tofauti haina sehemu ya kuplug, iko silidi moja kwa moja. Yaan kama chaja ya simu hivi, ni hizi za kisasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom