Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

Hebu tuangalie hii Katiba inasemaje kazi za Makamu wa Rais Kifungu 47 (a), (b) na (c) Makamu wa Rais atamsaidia Rais kufuatilia utekelezaji wa siku hata siku na hata mambo ya Muungano
(naona Mada ungeimaliza kwa niaba ya Jamii Forum kuliko kumuonea Makamu wa Rais tutaonekana wote hatufuatilii tunaposema asubiri, au anaingilia -- ni maoni yangu)
 

Hoja ya huyu mtu ni moja ya dead arguments zilizopata kuletwa hapa jukwaani! ...Na siku hizi ignorance ni choice ya mtu.
 
Mkuu unajua hawa watu wanichafua JF kwa sababu kaulizwa hiyo Organisation Chart kaipata wapi au Katiba atuwekee bado haijui na hapafahamu na kachota member wengine wakimnanga VP wakati ni kosa na anajumuisha wote, tumemsaidia ili afunge mjadala duh!!!!
 
Umenena vema
 
Niko pamoja na wewe kusubiri majibu ya hoja yako maridhawa
 
portifolio Kikatiba VP anayo kwenye Mazingira na Muungano. VP hana Mamlaka yoyote kwenye Utendaji wa Serikali. Ni ceremonial position, Ni reserve, Ni spare ya Presidaa ikitokea (Mungu aepushe)
Imeandikwa wapi?
Hayo unayoandika, umeoteshwa usiku?
Jiulize: Kama VP hana Mamlaka yoyote ya Utendaji Serikalini, Manaibu Waziri watakuwa na mamlaka ya aina yoyote?
Ma-Naibu Waziri wanasimamisha kazi ma-Headmaster na Wahandisi wa Maji sehemu mbalaimbali wanapokuta Utendaji usiokubalika.
Wanakosea?
Wanatakiwa wakae 'reserve' tu?
Hoja yako pamoja na hoja za watu wote wanaokubaliana na wewe, zinawapa nguvu wale wanaobeza 'Elimu' itolewayo Tanzania.
 
Lakini alipokuwa anamuapizja si alitamka hadharani kuwa anamtarajia afanye Kazi kea karibu na waziri wa fedha. Lakini katiba na utendaji ni vitu viwili tofauti. Ili mradi haileti athari kubwa ,mwenye nchi anaweza kumpa jukumu lolote msaidizi wake. Ngiyo maana unaona Mpango anatoa matamko lakini hajafunga safari kama za waziri mkuu kwenda kusimamisha Kazi watendaji. Basi Makamu asitoe hata dira ya serikali ambayo yeye ni mwenye wadhifa mkubwa ? Sisi tusubiri chakula kizuri tusianze kuchunguza nani ana jukumu lipi jikoni. Hivi unajua mama SSH , aliwapa angalizo kamati kuu kuwa ndani ya ccm anaweza akafanya vizuri na mr Mpango tu. Ndipo akateuliwa , mkuu chemistry ya watu wawili isikusumbue hautokaa uielewe kila kitu Kati yao
 
Hawezi fanya jambo bila go ahead ya Rais...

Ukiona hivyo ujue karuhusiwa...
 
Hoja ya huyu mtu ni moja ya dead arguments zilizopata kuletwa hapa jukwaani! ...Na siku hizi ignorance ni choice ya mtu.
"Atamsaidia Rais kufuatilia Utekelezaji wa Siku hata Siku na hata Mambo ya Muungano "

Vyema kabisa, unapomsaidia Mkuu wako wa Kazi, unatakiwa umpe ripoti. Yeye ndio ataiwasilisha kwa Waliomuajiri, ambapo kwa Rais, Waajiri wake ni sisi wananchi.

Hivyo VP akitumwa kazi na Rais, anatakiwa ampe breafing Rais, na Rais atatuhutubia Sisi. Hiyo ndio Chain Of Command ambayo Dr Mpango hajaijua.
 
"Atamsaidia Rais kufuatilia Utekelezaji wa Siku hata Siku na hata Mambo ya Muungano "

Vyema kabisa, unapomsaidia Mkuu wako wa Kazi, unatakiwa umpe ripoti. Yeye ndio ataiwasilisha kwa Waliomuajiri, ambapo kwa Rais, Waajiri wake ni sisi wananchi.

Hivyo VP akitumwa kazi na Rais, anatakiwa ampe breafing Rais, na Rais atatuhutubia Sisi. Hiyo ndio Chain Of Command ambayo Dr Mpango hajaijua.
 
Hivyo VP akitumwa kazi na Rais, anatakiwa ampe breafing Rais, na Rais atatuhutubia Sisi. Hiyo ndio Chain Of Command ambayo Dr Mpango hajaijua.
hiyo Chain of Command ni ipi? maana kuna mahali umesema Organization Chart hukuionesha
pia kumbuka hakuna mahali kunakosema Chain of Command kuwa Rais atazungumza na Wananchi waliomuajiri kila baada ya siku 30 au miezi 6 au Wazee wa Dar
Rais hashurutishwi popote kuwaelezea Wananchi kuwa sasa sukari ipo au vyama vya wafanyakazi vianze hichi au hata kukaa na Wapinzani
Rais ana vyombo vyake vya Usalama vinavyomuelekeza yeye na Makamu wafanye nini na tena hata km wametangulia kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya hivyo vyombo vitatii hata akikosea
Labda niseme kwa VP huyu hawezi kufanya kazi au kuruhusu wahuni km Sabaya, Makonda au Mawaziri vichwamaji watatimuliwa na Rais (na yeye atahusika) mara moja
Katiba na Chart of Organization ya kazi ya Muhimili huo nimekuweke post #147 mumuhumu
 
Sijaongelea Organization Chart, huo ni mchango wa mtu mwingine. Umechanganya mafaili.
 
Halafu inaonekana haujaelewa vizuri topic. Ni Wajibu wa VP kumpa updates Rais kwa kazi zote anazotumwa na Rais na anazopaswa kufanya kwa mujibu wa Katiba. Anatakiwa ampe Rais na yeye Rais ikimpendeza atatuhutubia sisi. Matamko yoyote ya VP yasiyozingatia Chain of Command hayapaswi kutamkwa kabisa.
 
sasa nimeanza kukuelewa kwani unakuja kwenye mstari kwamba Makamu anaruhusiwa kufanya kazi za kila siku na kumpa updates
Kaa ufahamu kila jumanne ya wiki Rais anakutana na Baraza la Mawaziri pamoja na Rais wa Visiwani?
je km kila siku au kila Jumatatu wanakutana na Makamu
Hilo neno Chain of Commanding kiofisi halipo labda Jeshini ndio maana ukianza kazi unapewa
job description na kipengele cha mwisho husomeka AND ANY OTHER DUTY ASIGNED BY YOUR SUPERIOR, bosi akikuagiza kitu hata kama hakipo kwenye JD ukifanye
Mkuu wa Wilaya mwenyewe anasimamisha wafanyakazi sasa VP mbwa mnyama kaingia haruusiwi mpaka aje mhudumu, naye amwite FFU getini atafutwe Nw Mifugo aje mdunguaji wanyama
Katiba ieleweke Makamu atafanya kazi na kutoa maamuzi, taarifa itafika kwa Raisi km inavyofika ya Mkuu wa Wilaya
 

Dr Mpango ni Professor wa nadharia zaidi. Tukitaraji matendo kwake tutamuonea.

Mungu atuepushe asije ukwaa Urais wa JMT. Tutaumia!
 
Hivi umesoma na kuelewa kweli original thread au unahemka mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…