Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

Ajikite kwenye mazingira na muungano, otherwise akumbushwe kuwa VP position hapa Tz ni more of a ceremonial position- ni nafasi ya kula bata kimyakimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha haa wewe umenikumbusha mbaaaali, enzi za vijiji vya ujamaa Kawawa alipobebeshwa zigo la kufeli ule mpango wa villagisation.
 
Zile semina za Ngurdoto na kujulishana majukumu ya viongozi mbalimbali ni muhimu sana.
 
JK aliwahi kusema urais ni wangu na sina ushirika na mtu yoyote yule.
Akawa anakwenda nje kwa ajili ya kuhudhuria mikutano ya wakurugenzi wa mamlaka fulani akifika huko anashinda hotelini wakati wahusika wakiwa vikaoni.

Full kula bata na hapo msafara una watu 30 - 40.
 
Wewe unataabika na nini juu ya hilo? Kuwa wewe unajua kuliko yeye?
Au unadhani amepata nafasi hiyo kwa kubahatisha?
Muache afanye kazi zake, hutaki, hama nchi.
Hakuna anayejua Kila kitu. Ndio maana tunakosoana. Hapa VP kakosea.
 
Kumbe humu jamvini kuna watu vilaza kweli2! MR ana mamlaka makubwa kumfuatia Rais sema wengi huwa ni wapole, lakini anaweza kuchukua hatua kwa kiongozi yoyote kasoro boss wake. Kama mambo hamyajui ulizeni siyo ujinga kufanya hivo!
Katiba Mkuu, Katiba. Hayo Mamlaka Mahsusi yako wapi nje ya Yale ya Muungano na Mazingira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…