Chai ya nazi

kuandika sasa 🀣🀣jf watuwekee sehemu ya voice note aah
Inaonekana hiyo chai ina process yake inayotakiwa kutolewa maelezo marefu tofauti na chai ya kawaida πŸ˜…
 
Inaonekana hiyo chai ina process yake inayotakiwa kutolewa maelezo marefu tofauti na chai ya kawaida πŸ˜…
ngoja nijaribu kukuelekeza simple step
chukua maji kiasi (unaweza weka ya mchaichai) bandika then weka viungo vyote unavyopenda chemsha ikicheka unaweza weka maziwa either ya unga au maji nayo yachemke kisha weka nazi unaweza tumia ya bhakhresa au ya kukuna, kama utatumia ya kukuna weka tui zito lile ichemke kiasi then tayari kwa kunywa 😊

ukitaka process yenye manjonjo hatua kwa hatua ntakutumia Voicenote Pm
 
Kama nimekuelewa hivi, lakini itapendeza kama nikisikia zaidi hiyo voicenote Amehlo, nadhani utaelezea vizuri zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…