chapati mbili na chai
Senior Member
- Jun 1, 2026
- 100
- 190
Aache bangi ๐Oya wee๐
Ambao mmeoa watoto wa Tanga na pwani tupeni uzoefu, hsmjapikiwa chai ya naziOya wee๐
Kwanini usipike mkuu huenda ni kitu kizuriUji wa tui la Nazi upo.
Ila chai sijawai sikia
Nitapika chai ya maziwa na sio naziKwanini usipike mkuu huenda ni kitu kizuri
Huu ni mchuziSamahanj naomba kuuliza haiwezekani kupika chai ya nazi, yaani unachuja tui lako vizuri, unachemsha unatia tangawizi au viungo vingine vya chai.
Hili pishi likoje Kwa wale ambao mmewahi kujaribu
Harufu inakuwa kama ya viungo vingine vya chai, inaweza kuwa chai nzuri sanaNafikiri ile harufu yake ndio changamoto
Yeah safi tu mkuu kama ni mchuzi mtu unakula na chapati au maandaziHuu ni mchuzi
Yaelekea unapenda sana misosi weye maana hata jina lako hapo๐๐๐Samahanj naomba kuuliza haiwezekani kupika chai ya nazi, yaani unachuja tui lako vizuri, unachemsha unatia tangawizi au viungo vingine vya chai.
Hili pishi likoje Kwa wale ambao mmewahi kujaribu
Atokee wa kuanzisha hili ๐Harufu inakuwa kama ya viungo vingine vya chai, inaweza kuwa chai nzuri sana