chai maharagwe...

kule mbezi ya juu wanayapanda hayo mpaka leo hii hahahahaahahah
 
Hii ndio ilikuwa mpinduzi mkubwa wa UDA mwanzoni mwa miaka ya tisini wakati ule makonda wake walikuwa maarufu sana hapa DAR
 
Nakumbuka sana aina hii ya usafiri kule iringa miaka ya 1990's
 
Kwa msuguri-msingwa wanaita kamongo yanapiga kazi karne hii ya treni za umeme!!!kiguuuuuumu chama cha majangili....
 
hahahaaa chai maharage hizoooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…