Ben Carlson
Member
- Jan 26, 2019
- 35
- 28
Ndugu wapendwa naomba kuuliza kuwa form five selection zitakuwa mwezi wa ngapi??
Swali la ajabu!Ndugu wapendwa naomba kuuliza kuwa form five selection zitakuwa mwezi wa ngapi??
Nimekosea kuuliza au halina kichwa na miguuSwali la ajabu!
Mimi ndiye niliemaliza form fourisije kuwa unaishi na form four leaver,angalia usije ukaishia jela,unataka ujue kama ame fail ili uendelee na ufuska wako.kumbuka hauta toka salama,achia mtoto wa jamhuri.