THE WISE MaN
Member
- Sep 22, 2014
- 11
- 0
Tukimalizia uongozi wa awamu ya nne,ambao umeambatana na changamoto kemkem,huu ni wakati muafaka kulinda chombo kisizame,vinginevyo tunaweza kuishi maisha magumu,yatakayoambatana na kudumaa kwa uchumi na hali ya wananchi kisiasa,kijami na kiutamaduni. Tujipange sasa. Suala la nani awe kiongozi wa mtaa, wilaya, mkoa hadi taifa zima ni langu na wewe. Tushirikiane jamani.