Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Mungu ni mwema , hatimaye amefungua njia ya kuichamba na kuichambua serikali hii kupitia chaguzi ndogo ikiwami jimbo LA longdo. Hapo sasaKipimo cha kwanza kuhusu kuanguka kwa chama cha baba Je.sca ni uchaguzi mdogo wa mbunge wa Longido. MaCCM lazima yakae.
Aliyeshindwa ni Tulia au nani unavyojua wewe? MTU kama anakiuka kanuni kichwan mwako anafanya sahihi au sio?kweli BAVICHA, hamna kiongozi, KUB inaogopa hadi kivuli cha Dr Tulia, sasa eti wanampinga mdada tu kawashinda, hoja ya bunge live, kugoma ndo iwatoe CCM, bado sanaaaaa
kweli BAVICHA, hamna kiongozi, KUB inaogopa hadi kivuli cha Dr Tulia, sasa eti wanampinga mdada tu kawashinda, hoja ya bunge live, kugoma ndo iwatoe CCM, bado sanaaaaa
CC: MolemoUtawala wa Magufuli,tofauti na ule wa Kikwete,unagusa moja kwa moja maisha ya mtanzania wa kawaida kijamii na hasa kiuchumi.Miezi 8 ya Magufuli kuwa madarakani imeathiri sana uchumi wa mtu mmoja mmoja ukiachilia mbali madhara ya kijamii ya zoezi la bomoabomoa,kufukuza wanafunzi wa UDOM na mambo mengine mengi kama kuzuia Bunge live n.k.
Ni kweli kabisa vitendo viovu vya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka vilishamiri sana katika utawala wa awamu iliyopita ila ni kweli pia vitendo hivyo havikumgusa mwananchi wa kawaida moja kwa moja japo vilikuwa na madhara kitaifa hivyo havikuweza ku-influence maanuzi ya wapiga kura wengi kutokana na wengi wao kuwa na uelewa mdogo na zaidi wengi walimudu walau kupata mkate wa siku na maisha yakaenda japo yalikuwa magumu ila awamu hii ugumu huo unaweza kuongezeka kiasi cha kumzindua mwananchi hata ajue thamani ya kura yake katika kuchagua kiongozi/viongozi.
Awamu hii hali ni tofauti na kila kukicha ni afadhali ya jana. Wafanyabiashara wanalia, wakulima wanalia na wafanyakazi wa umma ndio kabisa hali yao ni "mahamumu".
Hivyo basi,hasira na machungu waliyonayo wananchi hawa yatajidhihirisha katika chaguzi ndogo zijazo(kama zitakuwepo) na katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Dhana ya utumbuaji majibu haiwezi kuibeba CCM kwani ina mapungufu mengi kiasi kwamba wapinzania wakijipanga na kuichambua vizuri majukwaani,karata hii kwa CCM haitolipa bali inaweza kuwamaliza.
Hata Bajeti ya serikali ya 2016/2017, inaweza kabisa kuchangia anguko la CCM katika chaguzi zijazo.
Tusubiri.
Umesikia ya Geita?Endeleeni kujidanganya.kweli BAVICHA, hamna kiongozi, KUB inaogopa hadi kivuli cha Dr Tulia, sasa eti wanampinga mdada tu kawashinda, hoja ya bunge live, kugoma ndo iwatoe CCM, bado sanaaaaa
Mdudu halisi yameshaanza kutimia huko Geita.Kipimo cha kwanza kuhusu kuanguka kwa chama cha baba Je.sca ni uchaguzi mdogo wa mbunge wa Longido. MaCCM lazima yakae.
Na bado tunasubiri monduli kwa raisiUmesikia ya Geita?Endeleeni kujidanganya.
Nliwahi kusikia ila sijathibitisha ni kua vijana wa lumumba wengi wao ma bwabwa ndo maana hawaogopi kutukanakweli BAVICHA, hamna kiongozi, KUB inaogopa hadi kivuli cha Dr Tulia, sasa eti wanampinga mdada tu kawashinda, hoja ya bunge live, kugoma ndo iwatoe CCM, bado sanaaaaa